Childishness and Predictability in Korean Series

Childishness and Predictability in Korean Series

Dah!Tokea siku ya kwanza nilitaka nikuambie napenda sana nyimbo za kwenye the heirs!
Nzuri sana,pia napenda ile sound track ya the Slave Hunters.

Dah kuna rafiki yangu anaipenda hiyo slave hunter balaa hadi sound track zake.
 
Dah kuna rafiki yangu anaipenda hiyo slave hunter balaa hadi sound track zake.

Hanizidi mimi,leo tu nilikua naimba ile sound track yake.
Eee bwana ee,iko vizuri sana.
 
Ah idea zilezile tu.

Umeona eeh?sijawahi kua interested nazo kabisa

Za kizungu zinachosha tu siku hizi

Nadhani uki-generalize hivyo unakuwa biased au unaangalia ambazo ni tofauti na interest yako ila ukitafuta utapata ambayo itakuwa nzuri kwako ( Being the biggest in the business, there is something for everyone)...., Hollywood Series ni nyingi na zipo genre tofauti tofauti, unaweza usipende Games of Thrones, Person of Interest au Vampire Diaries sio sababu ni mbaya bali sababu ya interest yako.., ila huenda ukapenda Bing Bang Theory sababu ya your sense of humour lakini huwezi kusema zote hizo zinafanana...

Tofauti na mtu anaweza akasema movie za kihindi zinaboa sababu kuna recurring themes ( kulia lia, nyingi ni about arranged marriages au wanaimba imba saaanaaa) sasa sio kwamba kule kuimba ni kubaya bali its not everyone cup of tea..

Sasa tukija kwenye Korean Series kuna recurring things ambazo pamoja na mazuri yote zinaweza zikawa a turn off (wala sidhani kama zinaongezea ubora) na pamoja na hayo ni :-
  • Bad endings
  • Utoto fulani hivi...
  • Mfanano wa stories kwa saana ambao unaweza kugawanyika katika aina ambazo hazizidi tano (ukiangali hukosi kupata moments of De Javu..
  • Inconsistent yaani unakuta mtu mtaalamu na anaweza kupanga deals zake kwa umakini ila eti anajikuta anaongea kwenye uwazi na mtu yupo kona anasikiliza na kujua siri fulani (hii inatokea sana kwenye historicals)
  • Mwisho wa Plot mara nyingi yule culprit huwa hapati what he deserves.., kwahio inapunguza uzito /kazi ya main character
  • Trying hard to be funny...

Mwisho kabisa kama kuna tatizo la western series ni kama ifuatavyo:-
Kutokana na kwamba series huwa sponsors wake ni Big TV Networks huko US / au to a small extent UK uhai wa series unategemea viewers.., (watu wanaoangalia) hivyo kama series fulani hata ikiwa nzuri vipi kama viewers wakiwa wachache (hence matangazo / commercials zinakuwa chache) unaweza ukakuta series inakuwa cancelled..., hivyo kuna series nyingi za western hazina mwisho/ haziishi..

Pia kama series inakuwa na viewers wengi TV Networks huwa zinangaganiza kurefusha series hivyo ku-dilute story au kupoteza maana.., mfano halisi ni Lost, The Mentalist... to name just a few...
 
Kwanza mi sikatai hayo matatizo ya series za kikorea, ila maelezo yako mkuu yanaonesha series za kizungu kwamba hazina hazina matatizo yeyote,we umeelezea kama changamoto tu wanazozipata ambazo muda mwengine upelekea hata series kukatishwa hata kama ilikuwa nzuri sana endapo watizamaji hawatoipenda....ni kweli series za kizungu zipo nyingi ila ukizigawa kwenye makundi yake ndiyo hapo naposema mie unakuja kukuta kama unaangalia kitu kilekile tu.
Kwani we unapenda series za aina gani mkuu?
 
Kwanza mi sikatai hayo matatizo ya series za kikorea, ila maelezo yako mkuu yanaonesha series za kizungu kwamba hazina hazina matatizo yeyote,we umeelezea kama changamoto tu wanazozipata ambazo muda mwengine upelekea hata series kukatishwa hata kama ilikuwa nzuri sana endapo watizamaji hawatoipenda....
Issue sio kutopendwa issue ni kuangaliwa Live.., kwahio huenda series ikiwa kwenye time slot mbaya au time ambayo kuna competition kubwa inaweza pelekea watu kutoangalia live hence kuwa cancelled hivyo kwa mtu ambaye ame-invest kuangalia seasons nyingi anakuwa hajapata hitimisho (hili ni tatizo kubwa sana la series za western its all about money making...)

ni kweli series za kizungu zipo nyingi ila ukizigawa kwenye makundi yake ndiyo hapo naposema mie unakuja kukuta kama unaangalia kitu kilekile tu.
Kwani we unapenda series za aina gani mkuu?
Mkuu sio kweli kabisa kuna series za kumwaga ambazo zina originality na hata kama story zinafanana ila (Story Telling inaweza ikawa tofauti) na hapa ndio maana nikasema hizi Korean Series zingeweza kuwa bora zaidi na ule utoto as well as bad ending haiboreshi.. (ukizingatia wana uniqueness fulani na culture tofauti ambayo ingeweza kuleta uzuri/utofauti)

Binafsi napenda series yoyote yenye originality na consistence.., series sio story/plot peke yake.., bali pia uwasilishaji story inaweza ikawa nzuri ila imewasilishwa vibaya..., Pia ending is a large part of a story, lazima mwisho wa series u-justify time invested ya mwangaliaji, pia isiwe straight forward (The story needs to be worth telling).., sio tu mkusanyiko wa watu kuuza sura na kufanya kazi kama ile iliyofanywa na fulani... (Same Script Different Cast..), Unless kama nia ni kuchekesha (Comedy) kitu ambacho nadhani Koreans leave a lot to be desired.
 
Mkuu siwezi kusema korean series ni bora kuliko series za western,na pia si kwamba ndiyo series zote za western ni nzuri kuliko korean series, wakorea wanajitahidi sana hayo matatizo madogo madogo hata wazungu series nao pia wanamatatizo yao haina ubishi.
Ila binafsi nimeacha kuangalia series za kizungu ni kama nilivyosema naona Ideas zao zinafanana tu, na ndiyo kitu kinachonichosha ni tofauti na wakorea.
 
Mackerel Run... Lee minho ndo kinara...
Very funny
 
Back
Top Bottom