Childishness and Predictability in Korean Series

city hunter,Iris,Giant,a man called God,two weeks,fugitive plan b,swallow the sun,Ijmae.jaribuni kuangalia hizo ni nzuri sana.
 
Hapo nimeshaona city hunter,iris,a man called god sasa hivi ndio naangalia giant.
 
Angalia Dae je young hii ni kali kushinda Jumong.
 
jamani mimi ni mpenzi wa series zinazo husu mambo ya upelelezi na crimes.. mwenye kuzijua mpya anijulishe...!
 
Ikoje hiyo mkuu nzuri?
Nzuri Sana..jamaa alikuwa na mke mnene sasa hakuwa anampenda,sikumoja mkewe akagundua mume wake ana mwanamke nje ikabidi aondoke kwao alipokuwa anaishi na mume wake,Mume wake alipogundua kuwa mkewe kajua akamuua kumuuwa kwa kumsababishia ajali,lakini yule mwanamke alipona na kufanyiwa body surgery akawa mwembamba, mrembo na kuamua kulipiza kisasi....very interesting itafute mkuu
 
Nimekupata mkuu.
 
Nazipenda sababu zina subtitle ya kiingereza kitupu kiasi cha kwamba hata nikimiss sehemu naelewa mission nzima ni nn kuliko za kizungu,kwanza hujui mision ni nn pili za siku hizi zina story nyingi kama za wasoma vitabu.
 
Back
Top Bottom