Dah!
Kuishi bongo ni zaidi ya kuwa weyma sepe na dadamondi!
Kila kitu ni maigizo tu!
Reality imebaki kufa tu!
usiwe unapotea sana mwaya!
bongo muvi siku hiz imehamia huku!
watu wanajiwowa
wanajimimba
wanajitaliki
oh!
hm! bibie, nanusa nusa harufu ya ngumi hapa!
mbona unamtibua mwenzio wakati ana kidonda?
huhuhuu! mzima lakini?
Hahahahahamarahaba mwanafunzi wangu Rutta!
yani humu ni kujiwowa tuuuuu!
af na nyie mmezidi ubandidu hamjui kwann pm ziliekwa ?kwann hamzitumii kikamilifu mpk watu wanajitolea mahari za pipi toffee kiasi hiki?
mfyuuuuuuuuu mnaniuziga saa zingiineeeee!
Asprin ni kuwa umezeeka au ni nini?
si uwekee hata mkongojo bhanaaaa!
he, hivi kumbe jf watu wanang'oa vyombo eeh!?
mimi mzima naona umenisusa sana aisee sijui nilikukoseaga nini
mpaka nakaribia kuwa mkubwa
bado wewe tu kung'oa
Hivi ni kuwa hujawahi kupendwa.
Huna wa kukupenda.
Hujijui thamani yako.
Huna thamani
Au ni Kitu gani kinafanya uamini unatakiwa kuwa na aina hiyo ya mtazamo towards love and relationships?
You are too pushy,too much attention seeking,too naive and too trying to be sweet!
Heeeeeeee!