@chiefmp !!.Usinielewe Vibaya Mwenzio.

@chiefmp !!.Usinielewe Vibaya Mwenzio.

Mom Fay

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,059
Reaction score
316
Dear!!.

Mi natumaini tumeshaongea mengi kati yetu na sababu ya kutoka kutaka kuwa peke angu nshakwambia vizuri!!,usilie wala usiumie sana,sikatai unanipenda na nakupenda sana tu! kwa mda nilionao kwasasa hata jf yenyewe nashindwa kuingia kutokana na mambo mengi!!. nikikwambia mapenzi ntakuchosha tu,still nina mengi kichwani ntakukuchosha tu!!. napenda mengi sana kutoka kwako hasa sauti yako,please let us be friends kwasasa inatosha!!

am sorry kwa kukuumiza.
 
sijaelewa bado ujumbe huu ni kwa jukwaa au kwa mods?
 
mmh! inaonekana kuna waigizaji wazuri sana kwenye hili jukwaa...
 
Dear!!.

Mi natumaini tumeshaongea mengi kati yetu na sababu ya kutoka kutaka kuwa peke angu nshakwambia vizuri!!,usilie wala usiumie sana,sikatai unanipenda na nakupenda sana tu! kwa mda nilionao kwasasa hata jf yenyewe nashindwa kuingia kutokana na mambo mengi!!. nikikwambia mapenzi ntakuchosha tu,still nina mengi kichwani ntakukuchosha tu!!. napenda mengi sana kutoka kwako hasa sauti yako,please let us be friends kwasasa inatosha!!

am sorry kwa kukuumiza.

Sawa, lakini nikiwa na hamu naomba uwe unanipa mpenzi. Nayakumbuka mahaba yako hasa pale unapoletaga mapozi yako ya ki..........
 
Mom Fay unapenda attention kama teen wa form 3
 
Last edited by a moderator:
Just a different day...but the same......
 
Back
Top Bottom