Oh my God, what is this now!!???Dear!!.
Mi natumaini tumeshaongea mengi kati yetu na sababu ya kutoka kutaka kuwa peke angu nshakwambia vizuri!!,usilie wala usiumie sana,sikatai unanipenda na nakupenda sana tu! kwa mda nilionao kwasasa hata jf yenyewe nashindwa kuingia kutokana na mambo mengi!!. nikikwambia mapenzi ntakuchosha tu,still nina mengi kichwani ntakukuchosha tu!!. napenda mengi sana kutoka kwako hasa sauti yako,please let us be friends kwasasa inatosha!!
am sorry kwa kukuumiza.
miss uu sana honey
nilikua na swali ETI CHIPS NI VIAZI?
mmmmh mi nakulaga tu hata sijui aulizwe excel
hahahahaha hujajua tu kama hii ni isidingo
Best nimeishiwaje pozii....nlishajiandaa kukata mauno harusini
snowhite unahangaika na hawa #teamushuzi ambao wana multiple ID top 5 ya waandika pumba halafu ukute ni dume .Hivi ni kuwa hujawahi kupendwa.
Huna wa kukupenda.
Hujijui thamani yako.
Huna thamani
Au ni Kitu gani kinafanya uamini unatakiwa kuwa na aina hiyo ya mtazamo towards love and relationships?
You are too pushy,too much attention seeking,too naive and too trying to be sweet!
Heeeeeeee!
Dear!!.
Mi natumaini tumeshaongea mengi kati yetu na sababu ya kutoka kutaka kuwa peke angu nshakwambia vizuri!!,usilie wala usiumie sana,sikatai unanipenda na nakupenda sana tu! kwa mda nilionao kwasasa hata jf yenyewe nashindwa kuingia kutokana na mambo mengi!!. nikikwambia mapenzi ntakuchosha tu,still nina mengi kichwani ntakukuchosha tu!!. napenda mengi sana kutoka kwako hasa sauti yako,please let us be friends kwasasa inatosha!!
am sorry kwa kukuumiza.
Kama mahaba yote yanayotokana na JF yangekuwa na hizi drama ingebid kuwe na kituo cha polisi humu ndani!.
Cha!
Anapenda sana attention hadi anakera!Hajawahi kuandika any useful article yy kila siku kutunga tu vitu ahahahahah