Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,601
- 6,723
Hahaha ungekuwa mkuu wa kituo
Muone, una maneno wewe!!
Just like the old days
Hahaha ungekuwa mkuu wa kituo
Thi we we?Wamvalisha nani
Just like the old days
Thi we we?
Kama mahaba yote yanayotokana na JF yangekuwa na hizi drama ingebid kuwe na kituo cha polisi humu ndani!.
Cha!
Triplicate IDs.
Tunasubiri u-log off, uje ujijibu.
Watu wana stress za maisha acha tu,kizazi cha wahongaji kimeisha ukizubaa unagegedwa kwa ofa ya wali roast na sprite
Watu wana stress za maisha acha tu,kizazi cha wahongaji kimeisha ukizubaa unagegedwa kwa ofa ya wali roast na sprite
Hahahahahaha!!!!!!!!!!!
Hahahaaaaa!
Mkuu imebidi nicheke tu kwanza!
Wadau wa team Bazazi kumbe ni wengi aisee!
Wahongaji walishakufa na dengue zamaaani!
Si utafungia balabendi kwa juu?
Au?
Mkuu akishaangaa anapigwa free p hata hiyo ofa ya wali nyama hamna,kinadada wana mambo acha 2 ukimtoa out anaagiza 2 hajui mfuko wko ukoje,juzi nlikua dar nkakutana na mbongo movie yuko kwenye bajaji halafu bonge la foleni.
Nkastuka mdada mrembo hivi hana hata bebi walker ndio nkaamini kizazi cha wahongaji kushnei