tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,894
- 19,779
Alikuwa anafata ki baby walker chake garage
Wapi huyo nliomba no ya cmu akanipa fastafasta jioni ananiuliza uko wapi nije
Alikuwa anafata ki baby walker chake garage
Unashaangaa wa2 wanamegwa kwa ofa 2 maisha yamekua magumu,ukizubaa unapigwa free p
Hapa hakuna kupigwa free p,,,,,, kama ni ofa najitoa mwnyw
utoto unamsumbua,unaweza kuta anajijbu mwenyewe hapo
Usikute umejiwowa kwa mahari ya kijoti!.
Sosi Kongosho
Halafu wewe!!
Mwenzio kapenda sauti we unamchamganyia habari
Hahahahahaaa...!
Bhanae! achana na akina mkude!
Mi nimekumis! Vipi umzima weye?
Hahahahaha hakika jf Kuna vituko daaa!mie ile siku nilisema inawezekana huyu mama fay ndio arovera hapa anajijibu mwenyewe
hahha sio Azam cola au dau limeshuka this time
Hahahahaha Mwalimu snowhite shikamoo!
Hahahahaha Mwalimu snowhite shikamoo!
Khaa!! Naona movie inaendelea kweli JF ni stress free zone.