Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,601
- 6,723
utoto unamsumbua,unaweza kuta anajijbu mwenyewe hapoAnapenda sana attention hadi anakera!Hajawahi kuandika any useful article yy kila siku kutunga tu vitu ahahahahah
Mom Fay, Ivi yule Mkude ni ndugu yako eeh????
Hivi ni kuwa hujawahi kupendwa.
Huna wa kukupenda.
Hujijui thamani yako.
Huna thamani
Au ni Kitu gani kinafanya uamini unatakiwa kuwa na aina hiyo ya mtazamo towards love and relationships?
You are too pushy,too much attention seeking,too naive and too trying to be sweet!
Heeeeeeee!
Kwema koligi?Hivi ni kuwa hujawahi kupendwa.
Huna wa kukupenda.
Hujijui thamani yako.
Huna thamani
Au ni Kitu gani kinafanya uamini unatakiwa kuwa na aina hiyo ya mtazamo towards love and relationships?
You are too pushy,too much attention seeking,too naive and too trying to be sweet!
Heeeeeeee!
Nadhani watu wanajibishana kwa thread siku hizi.
CHIEF MP ndo huyu hapa chini
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/685321-hii-ndiyo-text-yake-ya-mwisho-kaniacha-njia-panda-hata-hivyo-namshukuru-mungu-kwa-yote.html
na bongo movie siku zote wanapenda umaarufu wa kijinga
mi jambazi tu la mtaani uswwet gani?.She's dying tryna be sweet like you
Just like the old days
Oooo kumbeeee du jf ina member wengi mnoooo ,hatuna swaga zishaishaaa
Kwema koligi?
Tusali sana wale vijana tulioleta duniani wajitambue!!
mi jambazi tu la mtaani uswwet gani?.
Or u meant she is dying trying to be sweet LIKE me sio like ME!
Enhnenhenhe uliadimika ujue
Hats off!usweet wako naujua mimi. Nipo mtaani tu humu nadokoa dokoa
Just like the old days
Hats off!
Just like the old days
Yani koligi ni issue!
Kwa kweli tusugue sana goti!
Kama mahaba yote yanayotokana na JF yangekuwa na hizi drama ingebid kuwe na kituo cha polisi humu ndani!.
Cha!