grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Daaah kama badiliko hilo ni la wiki moja basi tuandae michango ya rambirambi baada ya mwezi mmoja....Sasa ndio ushangae haya ni mabadiliko ya hii wiki moja tu...teh teh teh!!!
Daaah kama badiliko hilo ni la wiki moja basi tuandae michango ya rambirambi baada ya mwezi mmoja....Sasa ndio ushangae haya ni mabadiliko ya hii wiki moja tu...teh teh teh!!!
Usiseme Poda sema chakula cha Nyoka!poda mbaya sana...imempoteza
Mbona wewe unatoa harufu watu hatusemi?
haukuhusu wewe nenda kanye ulale:cool2:Sasa huo wimbo wake unatuhusu nini?
Kabebeshwa sembe weee na akina Nassoro Mangunga, hadi mwisho wa siku kaanza kulamba mwenyewe. Sasa kwisha habari yake, Nassoro anajiachia na Masogange wala hamkumbuki.
Ova.
Kitadondoka pia
View attachment 179227
Matomaso kama ninyi inabidi mjibiwe kwa picha. Huyo ni Chid na Mangunga.
Ova.
LMFAO......***** walahi wewe na huyo jamaa uliye mkoti mnajua kuvunja watu mbavu.yaani niko zangu maeneo nalainisha koo kwa castle bariiiiidi,nimecheka mpaka basi,nashukuru kelele za mziki zilimeza sauti ya kicheko changu,otherwise majirani wangesikia.eti kipini kitafanya nini?!.