sio chid benz tena ni chid san LG
Hiyo kazi inataka uwe kama kichaa vile ndio inanoga, kwa hiyo wanalazimisha wehu.Mi najiuliza hivii ukiwa msanii lazima ule unga??? Yaan lazima uwe mtumwa sembe
Kabaki Fuvu
ana shida gani mbona yupo hivo
sio chid benz tena ni chid san LG
poda mbaya sana...imempoteza
Mi najiuliza hivii ukiwa msanii lazima ule unga??? Yaan lazima uwe mtumwa sembe
Stress za Mawingu fm hizi,usipokuwa na company nzuri lazima uishie huko.
Nani amsaidie sasa?? Ray C?? Akaombe msaada kwa mkuu
Acheni hizo, mbona dogo yuko kwenye diet. pia na mambo ya gym, lazima apungue