Chidi Benzi huyo

Chidi Benzi huyo

Mawingu fm wamemfanyaje tena?

Wanawazulumu wasanii na kuwaonea.Ngwea naye ilikuwa hivihivi,wanashushwa kimziki na hawa jamaa kwa makusudi pale ambapo hawato tii matakwa yao.Matokeo yake mtu anakuwa na stress na kuishia huko
 
sa mtu tayari ashaweka kipini kwenye pua we unafikiri kuna kupona hapo..
 
Jamani msaada wa haraka unahitajika hapo, au kijana tunampoteza hata 2015 hafiki.
Wandugu, huyu mtoto babaake hayupo humu JF?

Kuna tetesi kuwa Ruge na Jo Kusaga ndiyo baba zake ila wanagombana kwani hawajuwi nani ndiyo baba. Ila inashangaza kwanini wanamwacha mtoto wao anakula poda.
 
Chid Benz alishatangaza kuachana na utumiaji wa madawa ya kulevya toka mwaka jana mwezi wa nane.....! Hio picha sijui ni ya lini......?
 
Atakua ndugu yake, mboa yeye mwenyewe nimelimuona wiki iliyopita mwenge stendi iliyovunjwa hayuko hivyo?
 
Huyu Dayadomo naye, hivi unadhani hatujui kuwa ushauza roho yako!!!

Tumechoka bana kila picha lazima uoneshe salamu yenu khaaaa!!!
 
Amekonda. Hakua hivyo kabisa. Akapime afya pia.
 
Atakua ndugu yake, mboa yeye mwenyewe nimelimuona wiki iliyopita mwenge stendi iliyovunjwa hayuko hivyo?

Sasa ndio ushangae haya ni mabadiliko ya hii wiki moja tu...teh teh teh!!!
 
Huyu Dayadomo naye, hivi unadhani hatujui kuwa ushauza roho yako!!!

Tumechoka bana kila picha lazima uoneshe salamu yenu khaaaa!!!
Mbona wewe unatoa harufu watu hatusemi?
 
Mi ni mmoja wa Mashabiki wake wake wa ukweli, ila kwa hapa Mungu amsaidie tu.
 
Back
Top Bottom