antidot
Member
- Dec 30, 2016
- 96
- 195
Bora hata angekua bwabwa! Kuliko hiyo kitu.Bora bange
Bora hata angekua bwabwa! Kuliko hiyo kitu.Bora bange
Mmmmh! Hatari sana!![]()
Vyote vibaya ....
ukianza bange baadae unga...Bora bange
Kumbe hiyo kitu ukionja sio rahisi kuacha! huyo ndio basi tena hawezi tena kurudia hali yake aliyokuwa nayo kabla ya kulamba huo mmea
Nakobanga binutee..haleyah!Ekelamu ya se kumisa nde mokonzi Yezu kristu Yahwe yokela ngai mawa ozali na concurrent te yo moko nde mosantu masumu ma ngai maleki
Anaweza mbona Ray C mwanzo aliokolewa na JK badae akayarudia ndio kupelekwa sober sijui na kina nani sahivi yuko fitKumbe hiyo kitu ukionja sio rahisi kuacha! huyo ndio basi tena hawezi tena kurudia hali yake aliyokuwa nayo kabla ya kulamba huo mmea
Huyo lord iyz ndio nani?? Kama unamaanisha Lord Eyes huyo kisha potea kwa madawa kitambo sana... Amekuwa anapata nafuu ila hajawahi kurecover 100% ... Cocaine isikie mkuu isikie tu mkuuMbona watoto wa Dar ndo wanaharibikiwa tu mbona A town kina Lord Izy wa long hawaja aribikiwa
Climate nayo Ina nafasi yake labda, ndo mana hata wenzetu huko tunakoiga hawaharibikiwi kiasi hiki! Hata wanaokunywa gongo sehemu za joto hali huwa mbaya sana tofauti na wale wanaotumia na wanaishi mazingira ya baridi!Mbona watoto wa Dar ndo wanaharibikiwa tu mbona A town kina Lord Izy wa long hawaja aribikiwa