Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Siku hizi chid pasoChi chi chi chid beeenz..
Siku hizi chid pasoChi chi chi chid beeenz..
Huyo dudubaya mwenyewe viroba vinammaliza kila siku masai club na boda boda yake mfukoni kajaza viroba yupo nyaka nyakaDudu baya aka mambaa, alishasema watu wamuache chidbeenz, Sikumuelewa kabisa dudu baya ila sahivi napata picha kamili
Duh
Dishi lisha yumba
King Kong![]()
Mshana kule kwenye milima ya ungweno hakuna dawa mbadala asaidiwe apone? He has been reduced to nothing
Utoto wa mjini kwishney...amekuwa mtoto pori. Unga haufai. .Chi chi chi chid beeenz..
Mchawi anamjuwa mchawi mwenzakeHuyo dudubaya mwenyewe viroba vinammaliza kila siku masai club na boda boda yake mfukoni kajaza viroba yupo nyaka nyaka
Picha & Video: Hali ya mwanamuziki Chid Benz yazidi kuwa mbaya - SWAHILI TIMESDu inanipa wakati mgumu kuamini.