Chid?

kwa jinsi anavyoendelea na alivyokuwa sasa tusubirie ya marehemu banza stone mwalim wa walim
 
Mshana kule kwenye milima ya ungweno hakuna dawa mbadala asaidiwe apone? He has been reduced to nothing
Ogopa cocaine ni hatari kuliko ulevi mwingine wowote ule
 
unga unawa waleta hapo na watumiaji wa bange kuwen makin sana kuna jamaa alikuja kujifunza chuo bange alidisko....
 
Kukopi na kujipestishia mifumo ya maisha ya watu tusio wafaham vizuri (wamaangaribi) unatuponza sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…