Chicago Ndio hii

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
396723_392417730816658_433674679_n.jpg
 
Huyo sio Mr T wa enzi hizo, isijekuwa nae kafulia kiasi hichi
 
nimeipenda hii imenikumbusha mambo flani flani :bolt::bolt:
 
Huyo lazima atakuwa kuku mtamu..

Huku kwetu mombasa huyo angekuwa bilionea, inavyoonekana bado kitu kipyaaaaaaaaa.
 
Pamoja na kuwa ni maisha yamempiga bado angeweza kuivaa suruali yake fresh bila kujidhalilisha
 
Jamani hiyo T Shirt vipi, yaani kaitoboa pale ili atangaze
 
Back
Top Bottom