Chibu kapanda mbegu kwa mshamba na limbukeni

Chibud chibude villa South dola 260000+ unapigwa kilaini tu kisa babutale kasema tunanunua ingine km hiyo.
Dogo pesa unayo akili ya Kina queendalleen,Esma na mamma dangote wafwa.
Zari do your job in real way, you did it with Ivan right. ?
Our boy from tandale need to learn a lesson
Teach him how smart Men do.
 
He...huyu dogo kwa nini anapenda kula makombo? Kijana mdogo, pesa ipo halafu anakula makombo! Pole zake kwa kweli.
 
Diamond kinachomuumiza sana ni brand yake maana akikumbuka kilichomkuta baada ya kuachana na wema ndo icho kitakachomkuta pindi atako mdrop zari, lakin in reality hakuna kijana yyt anayeweza kivumilia kukaa na mwanamke aliyemzid umri kiasi icho na mitoto juu. Kwa navohisi domo itakuwa alikuwa kashaanza kutengeneza maisha mapya na hamissa kisiri siri ili baadaye hata ikija kuvuma iwe rahisi kumuacha zari sema ndo ivo mipango imevurugika kabla. To be honest hata mm siwezi kuvumilia kuishi na mwanamke anaelekea menopause wakati mm ndo dam mbich kabisa.
Age is nothing but number.....
 
Back
Top Bottom