Chibu kapanda mbegu kwa mshamba na limbukeni

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,791
8,739
Heshima kwenu waungwana

Hivi Tangu huyu bibie mobeto ajifungue mtoto wa pili na kusemekana kuwa ni wa chibu, kelele zimekuwa nyingi, watu hawapumui kiasi kwamba huyo mtoto kashushwa km kilivyoshushwa kile kitabu kitakatifu,

Hivi hana kingine cha kufanya? Na vipi kuhusu yule mtoto wake wakwanza alozaa na Majizo? Hana thamani km Mwafrika mbele ya watu weupe? Kwann anakuwa mbaguzi kwa yule mtoto wa kwanza km ni wa hisani?

Huu ni ulimbukeni na ushamba wa kiwango cha reli ya mwendokasi,
 
Heshima kwenu waungwana

Hivi Tangu huyu bibie mobeto ajifungue mtoto wa pili...

Hivi hana kingine cha kufanya? Na vipi kuhusu yule mtoto wake wakwanza alozaa na Majizo? Hana thamani km Mwafrika mbele ya watu weupe? Kwann anakuwa mbaguzi kwa yule mtoto wa kwanza km ni wa hisani?

Huu ni ulimbukeni na ushamba wa kiwango cha reli ya mwendokasi,

Na wewe je.
 
Pambana na hali yako ungekua na busara kipindi haswa kipindi zari anachezewa na diamond bafuni ungempa ushauri mtu mzima yule

She is jus 24 ujana maji ya moto!fancy baba ake anajielewa kila mtu na life lake looohhh!
Mlitaka azae na nani?hahahaaaaaaa
Ndo ashazaa na diamond na ndo ashafanya party

Mwanamke jeuri muibie mmewe
 
Anza wewe kumpana na yako kisha unijie,

Mwambieni mwanamke mwenzenu km kuzaa hajaanza yy
 
Heshima kwenu waungwana

Hivi Tangu huyu bibie mobeto ajifungue mtoto wa pili na kusemekana kuwa ni wa chibu, kelele zimekuwa nyingi, watu hawapumui kiasi kwamba huyo mtoto kashushwa km kilivyoshushwa kile kitabu kitakatifu,

Hivi hana kingine cha kufanya? Na vipi kuhusu yule mtoto wake wakwanza alozaa na Majizo? Hana thamani km Mwafrika mbele ya watu weupe? Kwann anakuwa mbaguzi kwa yule mtoto wa kwanza km ni wa hisani?

Huu ni ulimbukeni na ushamba wa kiwango cha reli ya mwendokasi,
Mbona unajitekenya na kucheka?alokuambia mtoto wa majay hana thamani in Nani?hivi kuna mzazi anamchukiaga mwanae kweli?na je ulitaka hamisa afanye nini?mwacheni mtoto mzuri hamisa apumue na kufurahia mtoto wake jamani..hivi mngesikia katoa mimba si ndo mgemshupalia kooni kama tai?
 
Pambana na hali yako ungekua na busara kipindi haswa kipindi zari anachezewa na diamond bafuni ungempa ushauri mtu mzima yule

She is jus 24 ujana maji ya moto!fancy baba ake anajielewa kila mtu na life lake looohhh!
Mlitaka azae na nani?hahahaaaaaaa
Ndo ashazaa na diamond na ndo ashafanya party

Mwanamke jeuri muibie mmewe
Mamako Angeibiwa babako ungefurah?unaongea na makalio au Kichwa?
 
Anza wewe kumpana na yako kisha unijie,

Mwambieni mwanamke mwenzenu km kuzaa hajaanza yy
Pambana na hali yako
Chuki ni ugonjwa mbaya sana
There is thin line between love and hate

mnajua kuzaa hajaanza yeye,sasa kinawawasha nini...!!tena wangapi wanazaa na waume za watu tena ndoa halali kabisaaa sembuse zari hawara tu hata uchumba hanaa
 
Lazima muambiwe ili mujue wapi mrekebishe,

Mwambieni kiti wenu Apunguze mizuka
 
Wote wanqzingua Mond mbwa na mobetto huyo mbwa pia tofauti ni Mond kufanya janja kuonekana nae mtu na mobetto anamkomoa bi mkubwa ila all in all wanaleta hasira wote and huyo Hamisa hakusoma so hana akili viziuri na washauri wake ovyo bi mkubwa wa hamisa anapelekwa na binti
 
Back
Top Bottom