Chibok: Miaka Miwili Baadaye

Chibok: Miaka Miwili Baadaye

Jeshi iliyokamilika sana kimfumo. Ukikuta jeshi lina mamluki hilo ni jeshi dhaifu na bovu kabisa. Tukubali tu kuwa jeshi la Nigeria ni dhaifu.
Mkuu unafahamu vyema kwamba jeshi la Nigeria halitumii zana bora za kivita kutokana na historia mbaya yaapinduzi ya kijeshi hivyo haliaminiki na hawaaminiani wao kwa wao, hivyo vita hii ni ngumu kwao, matabaka ya kidini na makabila yanawatesa sana
 
mmhhh! natania tu...Ila hawa watu hawa wajinga sana!
Et elimu ya magharib ni haram wakat magari,mabumo,bunduki,simu vyote vimetokana na hiyo elimu ya magharibi.wanataka nn haswa
Mkuu unajua akili ya binadamu inapopokea taarifa flani inayomwaminisha ndio ya kweli, ni vigumu sana kuifuta na kuingiza taarifa mpya, hawa waliaminishwa wakristo ni wabaya na wengine waislam ni wabaya. Kuibadili taarifa hiyo ni ngumu dada
 
Hii inauma sana, kumbuka jeshi likiwavamia hawa boko kwa lengo la kuwaokoa ni hatari sana kwa usalama wa mateka

so suluhisho ni nini?!
Zimefikia siku 730 sasa na wazazi wanaendelea kusubiri watoto wao bila kujua madhira yanayowapata huko porini.

So should we let them live in an unfathomable condition simply because the ambush will risk their lives?
Their lives are in danger now....
 
Hii inauma sana, kumbuka jeshi likiwavamia hawa boko kwa lengo la kuwaokoa ni hatari sana kwa usalama wa mateka
Wanausalama gani hao mabinti? Mlipuko ukitokea ni bint kajilipua ni kina nani kama sio hao hao mabinti wanapunguzwa mmoja mmoja? Kama sio wao, hao wanaojilipua wametoka wapi?
 
Wakuu:
Mimi nailaumu Marekani. Ni juzi tu wametoa taarifa ya kutamba eti wanapeleka wataalam wa kijeshi 800 pamoja na vifaa vya kisasa vyenye kutumia utaalam wa hali ya juu (drones)nchini Uganda ili kumsaka Josef Kony.
Sasa Kony ni mtu mmoja wanatumia gharama kubwa kwa nini wasitumie gharama hizo kuwatafuta hao wasichana wetu 200? ambao hadi sasa hawajulikani walipo. HUO NI UNAFIKI.
We huna habari Boko haramu wanasapotiwa na hao hao wamarekani!
Wapi umeshawahi kusikia kundi la vibaka km hawa wasio na elimu wakateka Watoto 200 mpk 300 na Wasionekane wamekwenda wapi.
Haya ni maigizo tu.
Serikali za Magharibi zikisaidiana na Serikali ya Nigerial zinahusika na hili kundi mia kwa mia.
 
acha upotoshaji.
 
acha upotoshaji.
Unajua nini wewe?
Jenga hoja sio kuropoka tu.

ISIS wanasafiri Miles 2000 kwenda Belgium kuua watu lkn wanashidnwa kwenda Mile 100 Kuua Waisraeli ambao wanadai kuwa ni Adui zao.

We mkulima unaebeba habari za Radio ya bendi moja nini unakijua?
 
mapovu eeh!!? wewe na genge lako si ndio mlikuwa mkisapoti kitendo hicho humu jf? imekuwaje tena nyie watu? after all mii kuwa mkulima ni heshima kubwa
 
Teh teh teh.
Heshima utapata wapi we muuza mapuya?
Mimi nimewahi kusapoti makundi yanayoua WAISLAMU? au leo umepuliza yale majani haramu kabla ya kula?
 
Kahtaan tunapenda sana kukwepa ukweli kwa kusingizia nchi za magharibi hasa USA lakini ukweli utasimama BAADHI YA MAFUNDISHO KTK MADRASA NA MAHUBIRI KTK MISIKITI YA WATU WANAOJIFANYA KUTENDA KWA NIABA YA MUNGU NI CHANZO CHA SHIDA HIZI.

No matter what hakuna halali ya wengine kujiona ni watakatifu kuliko wengine na kujihalalishia hata kuua hata kuhukumu watu wa kada nyingine kisa tu unamuona legelege wa imani au si wa imani yako.

Dunia hii ilipo sasa mafundisho ya watoto na vijana wa kiislam ya tazamwe upya bila unafki kusaidia jamii. Lakini kama watu wakiendelea kujifungia katika elimu ya karne ya 6 shida zitaendelea
 
Ukweli upi uliosema wewe au Mtu yyy HAPA JF ambao UMEAMBATANA NA USHAHIDI NIKAUKATAA?
NAIONYESHE MMOJA TU km wewe ni mkweli.
Huna basi kaa kimya.

Mafundisho yapi Wanayopewa hao Vijana wa Madrasa ambayo wewe unaona hayafai km sio Unafiki na Chuki za Wapumbavu Wachache kwa WAISLAMU?

Mimi ni mmoja wa Vijana wa Madrasa na Kazi niifanyayo inawafaa Watu wote bila kujali imani zao wala itikadi zao.
Na Waislamu km Mimi tuko BILION na Zaidi.

Mnaangali Wapumbavu wachache walionunuliwa na USA na Mke wake Israel KUUA waislamu Kisha Mnapakazi huo ndio UISLAMU!

Toka lini ADUI wa USA Akaua WAISLAMU?
Mataifa ya Magharibi Yameanza Kuua Waislamu Miaka Mingapi Leo?
Na haya mataifa yote VIONGOZI WAO ni WAUMINI WA KANISA.

Nitajie Nchi MOJA TU ambayo ina RAIS MUISLAMU AU Kiongozi ambae ni MUUMINI WA KIISLAMU iliokwenda KULIPUA MABOMU Kwa mandege makubwa na KUUA MAALFU YA Raia wa Nchi inayotawaliwa na Kiongozi wa Kigalatia.
Jibu ni HAKUNA! Lkn kwa sababu nyie Mna Maradhi ya Selective understanding lzm Muone Waislamu ndio wabaya Japo kuwa WAO NDIO wanaouawa na HAWA MAKAFIRI KILA SIKU.
We Tulia tu lkn iko siku inakuja Itabidi Mkubali Ukweli tu hata kama Mtakasirika mpk mpasuke.

Hakuna mataifa MAGAIDI km USA na ISRAEL. Full stop.

Soma Historia kijana. Usijadili kwa Jazba. Utaaibika Bure

Unadhani UISLAMU ni km Ugalatia wa kuchakachuliwa kila siku?
Ovyo sana wewe mtoto.
 
Majibu yako yanaonyesha mlivyo unapomuita mtu KAFIRI yeye kwako akuiteje?! Bila shaka KAFIRI mkubwa. Ukatae usikatae tatizo liko ndani mwenu wacheni kuisingizia USA na washirika wao. Unapoaamua kujifunga mabomu kujilipua halafu unailaumu US tukuiteje kama si hamnazo

Ukweli gani utatukasirisha, au utajulikana ya mauaji !? Vikundi hivi havipiganii dini bali ushetani tu. Kadiri mnavyohubiri visasi tegemea maasi zaidi
 
JAMANI!!! Embu kaa chini jiulize swali, hivi hapa tanzania mfano, unaweza kufuchwa watu 200 hata miezi 6 na ikawa issue inajulikana na jeshi likashinda wapata? C'mon guys hao jamaa wanacheza na mind zetu, yaaan wana agenda zao tu eti watoto wako kaskazin hakuna hata misitu na wasionekane for two yrs? NOT POSSIBLE
 
Ukweli upi uliosema wewe au Mtu yyy HAPA JF ambao UMEAMBATANA NA USHAHIDI NIKAUKATAA?
NAIONYESHE MMOJA TU km wewe ni mkweli.
Huna basi kaa kimya.

Mafundisho yapi Wanayopewa hao Vijana wa Madrasa ambayo wewe unaona hayafai km sio Unafiki na Chuki za Wapumbavu Wachache kwa WAISLAMU?

Mimi ni mmoja wa Vijana wa Madrasa na Kazi niifanyayo inawafaa Watu wote bila kujali imani zao wala itikadi zao.
Na Waislamu km Mimi tuko BILION na Zaidi.

Mnaangali Wapumbavu wachache walionunuliwa na USA na Mke wake Israel KUUA waislamu Kisha Mnapakazi huo ndio UISLAMU!

Toka lini ADUI wa USA Akaua WAISLAMU?
Mataifa ya Magharibi Yameanza Kuua Waislamu Miaka Mingapi Leo?
Na haya mataifa yote VIONGOZI WAO ni WAUMINI WA KANISA.

Nitajie Nchi MOJA TU ambayo ina RAIS MUISLAMU AU Kiongozi ambae ni MUUMINI WA KIISLAMU iliokwenda KULIPUA MABOMU Kwa mandege makubwa na KUUA MAALFU YA Raia wa Nchi inayotawaliwa na Kiongozi wa Kigalatia.
Jibu ni HAKUNA! Lkn kwa sababu nyie Mna Maradhi ya Selective understanding lzm Muone Waislamu ndio wabaya Japo kuwa WAO NDIO wanaouawa na HAWA MAKAFIRI KILA SIKU.
We Tulia tu lkn iko siku inakuja Itabidi Mkubali Ukweli tu hata kama Mtakasirika mpk mpasuke.

Hakuna mataifa MAGAIDI km USA na ISRAEL. Full stop.

Soma Historia kijana. Usijadili kwa Jazba. Utaaibika Bure

Unadhani UISLAMU ni km Ugalatia wa kuchakachuliwa kila siku?
Ovyo sana wewe mtoto.
Kwa mara ya kwanza kabisa nakubaliana na wewe.
 
Boko Haram ni project so lazima advertisement kama hzi ziwepo kuleta woga kwa watu.
 
JAMANI!!! Embu kaa chini jiulize swali, hivi hapa tanzania mfano, unaweza kufuchwa watu 200 hata miezi 6 na ikawa issue inajulikana na jeshi likashinda wapata? C'mon guys hao jamaa wanacheza na mind zetu, yaaan wana agenda zao tu eti watoto wako kaskazin hakuna hata misitu na wasionekane for two yrs? NOT POSSIBLE

Jaribu Congo DRC ufunguke macho.
 
Iv kwa technonologia ya drones wameshindwa kuwa locate mpaka sasa iv..si waombe msaada hata kwa Israel
 
Kuna dini zingine huwa uzombi mtupu. Sasa mliamua hamtaki kusubiri wale 72 wa ahera, mkawachukua hawa wa duniani.
 
jwtz baba lao! but hatutaki kuingilia yasije kutukuta ya kenya na alsgbab bure..Tumezoea amani.Watajua la kufanya

😀😀😀 c mbaya kujifurahisha, jwtz imepigana wapi mpaka useme JWTZ BABA LAO, dah nimecheka
 
Back
Top Bottom