Hawa boko haram wenyewe ndo maharam....
ukiangalia walio tekwa na kuumizwa ni wa dini yao sasa kama sio uharamu huo ni nini? Ni Mungu yupi wanampigania kama sio ushetani tu..... wawachukue JWTZ wakasafishe huo msitu....
hapa inaonesha kuna siri imejificha...Kama ingekuwa ni uislamu wangeheshimu msikiti, na hao mabinti wa kiislam wangewaacha lakini boko haram hawaangalii hilo. Zile zama za Freemason kutawala dunia ndizo hizi...kuna mikono ya watu ambao wanapenda damu zimwagike ili wapate lao......
Ktk hii dunia kuna viumbe waajabu sana, wengine wanapenda tuu kuua, wengine wanapenda tu kuona mtu akiteseka wengine wanapendak uona damu.
Ni kama Marekani wengi wameathirika sijui na nini utakuta mtu anatamani tuu kuua au kumtesa mtu alafu akimuua anamzika katika uwa wake, au chini ya nyumba.