Chibok: Miaka Miwili Baadaye

Chibok: Miaka Miwili Baadaye

Dark Angel

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
212
Reaction score
220
150630123207_chibok_624x351_afp.jpg

Lakini inawezekanaje katika dunia ya sasa kwamba hakuna msichana hata mmoja alieweza kuokolewa?

Miaka miwili iyopita wiki kama hii , wasichana 267 walitekwa nyara kutoka shuleni kwao na wanamgambo wa Boko Haram.

Suala lililolaaniwa vikali kimataifa na kuchochea kampeni ya mitandao ya kijamii iliyojulikana kama #bringbackourgirls na kuweka wazi udhalimu unaotekelezwa na makundi ya uasi Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.

160413171845_chibok_school_624x351_bbc.jpg

Shule ya Chibok ilivyobakia sasa
Zaidi ya vijana 200 wa kike hawajapatikana hadi leo .

Katika ripoti hii maalum mwandishi wa BBC Martin Patience alisafiri hadi Chibok kuongea na familia za wasichana na kutembelea shule ambako walitekwa nyara.

160413172300_chibok_school_624x351_bbc.jpg

Msitu hapa ni mkubwa na ni rahisi sana kwa wanamgambo wa Boko Haram kuvamia msafara wowote wa magari ya kijeshi.

Barabara ya kuelekea Chibok imejaa vikwazo na hatari hata hivyo tulisafiri katika msafara wa magari ya kijeshi tukipitia vijiji vilivyotelekezwa kimoja baada ya kingine
Taswira
Kile kinachoonekana kama msikiti unaonekana kupigwa risasi kila mahali , Paa lake limeng'olewa.

Hiki kilikuwa ni kijiji ambacho huenda kilikua ni makaazi ya makumi kadhaa familia , lakini kwa sasa hakuna mtu anayeishi hapa na vichaka vimemea tena kijijini hapa.

Msitu hapa ni mkubwa na ni rahisi sana kwa wanamgambo wa Boko Haram kuvamia msafara wowote wa magari ya kijeshi

160413172343_chibok_school_624x351_bbc.jpg

Msikiti wa Chibok

Saa tatu baadae tuliwasili Chibok mahala kulikokuwa zamani soko maarufu la mji ambao kwa sasa halisikiki.

CHIBOK
Lakini wakati huo Boko Haram walipokuja kuwateka mamia ya wasichana wa eneo hili walibaki na kumbukumbu za kutisha za usiku huo.

Wazazi hapa wamebakia kusubiri majibu ya wapi waliko watoto wao.
Miongoni mwao ni Mariam Abubakar.

Mwanaye Han Satu alikua na umri wa miaka 17 alipotekwa alipenda mitindo

160413172215_chibok_school_624x351_bbc.jpg

Msafara wa jeshi la Nigeria

''Msichana wangu likua mchapakazi . Alipenda utani na alipenda mavazi.''
''Muda mfupi tu kabla ya kuchukuliwa alikua ameniomba nimnunulie mashine ya kushona nguo''alisema Myrama Abubakar.

Mbele ya nyumba yake ya matope Maryama alivuta nguo alizoacha binti yake .
Alichukua vazi alilolipenda na kuliweka kwenye magoti yake .

160413171543_chibok_school_624x351_bbc.jpg

Chibok
''Hii ni gauni aliyotakiwa kuvaa kwenye harusi ya rafiki yake siku moja baada ya kumaliza mitihani .

Lakini mitihani haikufanyika . Nitaitunza gauni hii mpaka atakaporudi alisema mzazi huyo.
Na baade nilizungumza na Binta AbuBakar mama yake Maryam ambaye sasa angekua na miaka 19 -

160413172124_chibok_school_624x351_bbc.jpg

Kundi la waandishi wa habari
''Kabla ya kwenda shuleni siku ile alikua anafanya kazi katika duka angu la chakula . Aliweza kufanya mauzo ya dola hamsini! alikua mzuri sana kuwavutia wateja , alikua mfanyabiashara hodari . Hizii ndizo nyakati za mwisho nilizokua naye.

Naomba binti yangu arejee akiwa hai . Lakini kama haitakua hivyo natumai roho yake italala kwa amani . Natumai kumbu kumbu za kutisha alizoziona wakati alipotekwa yatakua ndio mateso yake ya mwisho ,alisema bi AbuBakar.
160413173149_chibok_girl_picture_640x360__nocredit.jpg

Miaka miwili baadaye hakuna taarifa kuhusu waliko wasichana wa Chibok - Labda wako Chad ama Cameroon - kuna uwezekano mkubwa wengi wao walilazimishwa kuolewa na wapiganaji.
Maisha yanaendelea kurejea taratibu katika hali ya kawaida mjini Chibok na usalama unaimarika.

Lakini inawezekanaje katika dunia ya sasa kwamba hakuna msichana hata mmoja alieweza kuokolewa?

Chanzo: BBC
 
Kuna vitu vinatokea Duniani ambavyo vinashangaza.
Huwa najiuliza huo msitu ambao Boko Haram wanaweza kuingia lakini jeshi la nchi lenye resources zote linashindwa kuingia, ni aibu.
Ni rahisi kusoma hii Habari ya hawa mabinti na kuona ni kawaida kwa sababu si ndugu wala jamaa zetu, ila wenye watoto wao wanapitia kipindi kigumu sana.
 
150630123207_chibok_624x351_afp.jpg
FONT][FONT='Times New Roman'][COLOR=

Lakini inawezekanaje katika dunia ya sasa kwamba hakuna msichana hata mmoja alieweza kuokolewa?
Miaka miwili iyopita wiki kama hii , wasichana 267 walitekwa nyara kutoka shuleni kwao na wanamgambo wa Boko Haram .
Suala lililolaaniwa vikali kimataifa na kuchochea kampeni ya mitandao ya kijamii iliyojulikana kama #bringbackourgirls na kuweka wazi udhalimu unaotekelezwa na makundi ya uasi Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.

160413171845_chibok_school_624x351_bbc.jpg

Shule ya Chibok ilivyobakia sasa
Zaidi ya vijana 200 wa kike hawajapatikana hadi leo .
Katika ripoti hii maalum mwandishi wa BBC Martin Patience alisafiri hadi Chibok kuongea na familia za wasichana na kutembelea shule ambako walitekwa nyara.

160413172300_chibok_school_624x351_bbc.jpg

Msitu hapa ni mkubwa .. na ni rahisi sana kwa wanamgambo wa Boko Haram kuvamia msafara wowote wa magari ya kijeshi
Barabara ya kuelekea Chibok imejaa vikwazo na hatari hata hivyo tulisafiri katika msafara wa magari ya kijeshi tukipitia vijiji vilivyotelekezwa .. kimoja baada ya kingine
Taswira
Kile kinachoonekana kama msikiti unaonekana kupigwa risasi kila mahali , Paa lake limeng'olewa ,
Hiki kilikuwa ni kijiji ambacho huenda kilikua ni makaazi ya makumi kadhaa familia , lakini kwa sasa hakuna mtu anayeishi hapa na vichaka vimemea tena kijijini hapa
Msitu hapa ni mkubwa .. na ni rahisi sana kwa wanamgambo wa Boko Haram kuvamia msafara wowote wa magari ya kijeshi

160413172343_chibok_school_624x351_bbc.jpg

Msikiti wa Chibok
Saa tatu baadae tuliwasili Chibok mahala kulikokuwa zamani soko maarufu la mji ambao kwa sasa halisikiki.
CHIBOK
Lakini wakati huo Boko Haram walipokuja kuwateka mamia ya wasichana wa eneo hili walibaki na kumbukumbu za kutisha za usiku huo …..
Wazazi hapa wamebakia kusubiri majibu ya wapi waliko watoto wao.
Miongoni mwao ni Mariam Abubakar.
Mwanaye Han Satu alikua na umri wa miaka 17 alipotekwa … alipenda mitindo

160413172215_chibok_school_624x351_bbc.jpg

Msafara wa jeshi la Nigeria
''Msichana wangu likua mchapakazi . Alipenda utani na alipenda mavazi.''
''Muda mfupi tu kabla ya kuchukuliwa alikua ameniomba nimnunulie mashine ya kushona nguo''alisema Myrama Abubakar.
Mbele ya nyumba yake ya matope Maryama alivuta nguo alizoacha binti yake .
Alichukua vazi alilolipenda na kuliweka kwenye magoti yake .

160413171543_chibok_school_624x351_bbc.jpg

Chibok
''Hii ni gauni aliyotakiwa kuvaa kwenye harusi ya rafiki yake siku moja baada ya kumaliza mitihani .
Lakini mitihani haikufanyika . Nitaitunza gauni hii mpaka atakaporudi alisema mzazi huyo.
Na baade nilizungumza na Binta AbuBakar mama yake Maryam ambaye sasa angekua na miaka 19 -

160413172124_chibok_school_624x351_bbc.jpg

Kundi la waandishi wa habari
''Kabla ya kwenda shuleni siku ile alikua anafanya kazi katika duka angu la chakula . Aliweza kufanya mauzo ya dola hamsini! alikua mzuri sana kuwavutia wateja , alikua mfanyabiashara hodari . Hizii ndizo nyakati za mwisho nilizokua naye.
Naomba binti yangu arejee akiwa hai . Lakini kama haitakua hivyo natumai roho yake italala kwa amani . Natumai kumbu kumbu za kutisha alizoziona wakati alipotekwa yatakua ndio mateso yake ya mwisho ,alisema bi AbuBakar.
160413173149_chibok_girl_picture_640x360__nocredit.jpg

Mwanaye Han Satu alikua na umri wa miaka 17 alipotekwa … alipenda mitindo
Miaka miwili baadaye hakuna taarifa kuhusu waliko wasichana wa Chibok - Labda wako Chad ama Cameroon - kuna uwezekano mkubwa wengi wao walilazimishwa kuolewa na wapiganaji.
Maisha yanaendelea kurejea taratibu katika hali ya kawaida mjini Chibok na usalama unaimarika.
Lakini inawezekanaje katika dunia ya sasa kwamba hakuna msichana hata mmoja alieweza kuokolewa?

Nigeria: Dokubo-Asari Says Chibok Kidnap a Hoax

By Victor Edozie

Port Harcourt — Leader of the Niger Delta Peoples Volunteer Force Mujahid Dokubo Asari has accused the Borno State Governor Kashim Shettima of faking the abduction of over 200 students of Chibok Secondary School.

Dokubo, who spoke at a rally organised in honour of late Isaac Adaka Boro in Port Harcourt at the weekend said nobody was abducted in Chibok, saying it was a propaganda perpetrated by the North against President Goodluck Jonathan.

"No girls were kidnapped. We know that no girls were kidnapped. It was an arrangement by APC (All Progressive Congress) and Shetima to stop the state of emergency. He has failed. Let Shetima bring back the girls where he is hiding them. He knows where the girls are and when they eventually come back we will conduct a DNA test to march with their parents," Dokubo alleged.

He criticised the #bringbackourgirls campaign and rallies saying it was deceitful.

"We are sending a message to the hypocrites. In Abuja some people were talking about bring back the girls. Where were they when Odi was destroyed and thousands of people killed at Obuama?" he asked.

Nigeria
 
Kuna vitu vinatokea Duniani ambavyo vinashangaza.
Huwa najiuliza huo msitu ambao Boko Haram wanaweza kuingia lakini jeshi la nchi lenye resources zote linashindwa kuingia, ni aibu.
Ni rahisi kusoma hii Habari ya hawa mabinti na kuona ni kawaida kwa sababu si ndugu wala jamaa zetu, ila wenye watoto wao wanapitia kipindi kigumu sana.

Kumbuka wakati wa Jonathan alijikuta hata makamanda wake tena wa ngazi za hui kabisa ni waaminifu kwa BOKO HARAM.

Siku dunia ikiacha kuhubiri unafki na kuhubiri ukweli hasa misikitini mambo hayo yatapata tiba lakini si kwa hali ya sasa
 
Kila taasisi kwa mataifa ya Afrika imejaa siasa na upigaji tu. Jeshi limejaa bla bla tu na mavifaa mengi ya kufanyia maonyesho wakati haliwezi lolote. Wanaingia msituni wanakamata wanyonge wanasingizia boko haram.
 
Hawa boko haram wenyewe ndo maharam....
ukiangalia walio tekwa na kuumizwa ni wa dini yao sasa kama sio uharamu huo ni nini? Ni Mungu yupi wanampigania kama sio ushetani tu..... wawachukue JWTZ wakasafishe huo msitu....
 
Wakuu:
Mimi nailaumu Marekani. Ni juzi tu wametoa taarifa ya kutamba eti wanapeleka wataalam wa kijeshi 800 pamoja na vifaa vya kisasa vyenye kutumia utaalam wa hali ya juu (drones)nchini Uganda ili kumsaka Josef Kony.
Sasa Kony ni mtu mmoja wanatumia gharama kubwa kwa nini wasitumie gharama hizo kuwatafuta hao wasichana wetu 200? ambao hadi sasa hawajulikani walipo. HUO NI UNAFIKI.
 
Tatizo higaidimbo limejikita kwenye imani za watu. Kwamba kinachopiganiwa ni imani na si uasi hivo kumjua adui ni kazi ukizingatia eneo hilo majority ni wa imani hiyo
Haya mambo yanaumiza kichwa,yupi mpigania imani yupi n muasi na gaidi wote wanachanganya sn
 
Wakuu:
Mimi nailaumu Marekani. Ni juzi tu wametoa taarifa ya kutamba eti wanapeleka wataalam wa kijeshi 800 pamoja na vifaa vya kisasa vyenye kutumia utaalam wa hali ya juu (drones)nchini Uganda ili kumsaka Josef Kony.
Sasa Kony ni mtu mmoja wanatumia gharama kubwa kwa nini wasitumie gharama hizo kuwatafuta hao wasichana wetu 200? ambao hadi sasa hawajulikani walipo. HUO NI UNAFIKI.
Wakati mwingine huiona Marekan km chanzo cha matatizo mengi sana barani africa
 
Hawa boko haram wenyewe ndo maharam....
ukiangalia walio tekwa na kuumizwa ni wa dini yao sasa kama sio uharamu huo ni nini? Ni Mungu yupi wanampigania kama sio ushetani tu..... wawachukue JWTZ wakasafishe huo msitu....
Jwtz...
 
Back
Top Bottom