Chezea mjini wewe....................

Chezea mjini wewe....................

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
Jamaa alikosea kutuma m.pesa sh 500,000/= ikaenda namba nyingine, kuona hivyo akaumiza akili akatuma meseji

ifuatayo kwenye namba hiyo." UMETEULIWA KUINGIA CHAMA CHA FREEMASON NA UMETUMIWA PESA, BAADA YA DAKIKA

15 ATAKUFA MWANAO UMPENDAE. HARAKA KAA NJIA PANDA GARI YETU NYEUSI ITAKUFUATA UJE UNYWE DAMU YAKE.!

KAMA UMESHINDWA MASHARTI RUDISHA PESA HARAKA KABLA YA MAAFA" baada ya dakika 1 tu jamaa akaona salio

limerudi... chezea mjini wewe.
 
waashi huru watume pesa?
bila hata vikao na mimi?[
haiwezekaniQUOTE=farkhina;7662519]Huogopi waashi huru lol?[/QUOTE]
 
babu hujanipendekeza kuwa miss embu kapendekeze shansarie kwanza sijakuona kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom