Chezea JK wewe..

Chezea JK wewe..

IMG_8352.JPG
 
Yupo katika utumishi wa umma muda mrefu

Membe%2841%29.jpg
 
Mkuu Safari_ni_Safari kuna wazungu walisema kuwa " A picture is worth a thousand words" ama kitu kama hicho. Picha zako zinaongea sana mkuu. Aksante
 
Nenda Pale Foreign Utapata Details Zake au Nenda Alikoajiriwa Pale Makao Makuu Ya ILE Idara Yetu NYETI Oysterbay NYUMA Ya Multi Choice Tanzania Na Hata Humu JF Mpo Ambaye Mlikuwa Nae Intake Moja MBWENI Malindi.

Kwa records zangu nlizonazo huyu binti hajapitia malindi mkuu. Sio kila mfanyakazi wa ikulu anapitia malindi. Kwa uwelewa wangu mdogo nlionao, malindi ni chuo cha TISS na TISS sio ikulu. Ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom