Chezea JK wewe..

Chezea JK wewe..

JK jisho na tabasamu lote kwa Mindy kasiga,halafu Minde si anafanyia Washington,ilikuwaje akaenda Guinee anakokwenda rAISI?Halafu mama Salma hakuwepo

Mindy ni Mfanyakazi wa wizara ya mambo ya nje. alikuwa US na sasa karudishwa nchini kuwa akikaimu ukuu wa kitengo habari pale wizarani.
 
Mhhhh! Nimekuvulia kofia...Mindy ni kweli yuko DC baada ya kumaliza shule kule US aliwekwa Ikulu wakati wa Mjomba wake Mkapa yuko pale, alipoingia Kikwete haikuchukua muda akapelekwa DC ubalozini. Hata mie hii safari ya Guinea siielewi lakini unajua tena mambo ya Waheshimiwa!!!!!

JK jisho na tabasamu lote kwa Mindy kasiga,halafu Minde si anafanyia Washington,ilikuwaje akaenda Guinee anakokwenda rAISI?Halafu mama Salma hakuwepo
 
JK jisho na tabasamu lote kwa Mindy kasiga,halafu Minde si anafanyia Washington,ilikuwaje akaenda Guinee anakokwenda rAISI?Halafu mama Salma hakuwepo

Sasa Umeshasema Alikuwa Washington Na Amekwenda Huko Guinee Ambako MJOMBA Alikuwepo Na Mama Wa Taifa Hakuwepo Na Huyo Binti Ameachika Na Mumewe Je Hapo Sasa Unajifanya Hufahamu Nini Tena? Mbona Jibu Ni Rahisi tu Mkuu!!! Ukitaka Kujua Madhara Ya Huyo Mtafute Kocha Mume ----- Aliyekwenda Saudi Arabia Hivi Majuzi Yaliyomkuta Kwa Mama Watoto Mkuu Wa Wilaya ILE Ya........................ Mtangazaji Wa Zamani Wa ITV na Radio One Stereo.
 
JK jisho na tabasamu lote kwa Mindy kasiga,halafu Minde si anafanyia Washington,ilikuwaje akaenda Guinee anakokwenda rAISI?Halafu mama Salma hakuwepo

Wanasaikolojia Wanakuambia Udhaifu Wa Mtu Utaujua Haraka Kupitia Macho Na Body Language Yake Tu na Kwa Picha Husika Nadhani Inajieleza Kila Kitu...........ILA Achaeni Tu Awakanyage Kwani Muda Mwingine Vinajipendekeza Vyenyewe Kwa Either Tamaa na Hofu Or Sifa.
 
Back
Top Bottom