Chezea JK wewe..

Chezea JK wewe..

SONGOKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
1,836
Reaction score
1,846
Rais kikwete akiwasili nchini guinea hivi karibuni, ..ungekuwa huyo jamaa hapo katikati ungejiskiaje? tafakari
attachment.php
 
Attachments

  • WP_20140626_008.jpg
    WP_20140626_008.jpg
    474.3 KB · Views: 6,050
JK jisho na tabasamu lote kwa Mindy kasiga,halafu Minde si anafanyia Washington,ilikuwaje akaenda Guinee anakokwenda rAISI?Halafu mama Salma hakuwepo

Mchepuko time baby!😛eep:
 
it is obvious mheshimiwa anapiga hapo sababu hata binti anamuangalia with great excitement, remembrance and anticipation of something.
 
baada ya gadafi kung'olewa mbabe aliyebaki Africa ni JK tu, ukitaka utawala wako ukome tibuana nae.
Yes jk bonge la kiongozi aliyebaki kwenye hii afrika yetu anayepigiwa mfano.
 
JK jisho na tabasamu lote kwa Mindy kasiga,halafu Minde si anafanyia Washington,ilikuwaje akaenda Guinee anakokwenda rAISI?Halafu mama Salma hakuwepo

Kuna kipindi nilisikia kilishaota kule USA sasa hapa atakuwa yuko kwenye ajira mpya ya kumfurahisha bwana mkubwa.
Kitengo cha entertainment pale magogoni.
 
JK jisho na tabasamu lote kwa Mindy kasiga,halafu Minde si anafanyia Washington,ilikuwaje akaenda Guinee anakokwenda rAISI?Halafu mama Salma hakuwepo

Victoire mindy ni nan ati, sijawahi kumfahamu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom