Chezea CHADEMA weyee! Makamba, Mkama, Kinana OUT..2015 CCM Out

Mkuu lusungo mpenda amani unayejitambua.

Hawa Bavicha wapo kama nyumbu wala wasukupe taabu wao wanafuata chochote wanachosema Mbowe na Slaa.

Mtu kama Nicholas ndiyo anategewa waziri Chadema wakichukuwa nchi.

Teh teh teh

Mkuu Ritz
Hawa waliathiriwa na element za gongo wakati wa kurutubishwa tumboni....
teh teh teh teh eti yericko nae anaandaliwa kuwa waziri ha ha ha ha bavichaa kuna mambo
 
Last edited by a moderator:
Kijana umepiga ngumi kali sana CHINI YA KITOVU CHA CCM ! Iam confident that KINANA is the next one to go out .

utangoja sana halitatokea
mnapagawa na kinana kila akipita mnatamani mumkabidhi marinda.....
huyo babu mpaka amedhoofu mbona hammwambii apumzike?
 
utangoja sana halitatokea
mnapagawa na kinana kila akipita mnatamani mumkabidhi marinda.....
huyo babu mpaka amedhoofu mbona hammwambii apumzike?

Yani ww mi sikubali post zako za kijinga unajifanya ccm kumbe bavicha mkubwa
 
hah..inakutisha....?si mlikuwa mnamwita Mwinyi Mtukufu?juzi nilisikia na yule sheikh wa dar mwenye mbwembwe ktk kupindisha domo...akisema mtukufu Rais JK na kumtakia....

Kinakuuma nini sasa cdm ikiw ani Mpango wa Mungu?au wewe ni wa mungu wa underworld...?

duh! kizazi cha Div 5 majanga
 
mods bana..na hii wameona kuwa ni ya uchaguzi 2015?kweli CCM ina wengi w akuipigania ,ila kila mti unateleza.Hii ni siasa zinazoendelea..
 
Mkuu lusungo mpenda amani unayejitambua.

Hawa Bavicha wapo kama nyumbu wala wasukupe taabu wao wanafuata chochote wanachosema Mbowe na Slaa.

Mtu kama Nicholas ndiyo anategewa waziri Chadema wakichukuwa nchi.

Teh teh teh

haha..pole sana .Na ahsante km unaniona nafaa kuwa waziri..Ila ukijipima wewe na wenzio unaweza ona sana jinsi mnalandana na nyumbu,na pengine wakiwaona watajisikia vyema sana.
 
hata mimi nili mshangaa sana kibanda alipoanza kuwasifia mgamba kama vile kinana ni mtume aliyeshushwa kutoka mbinguni.

akapofushwa na vijisent akasahau kwamba ni mfumo huu mbovu aliokuwa anaukandia akidhani utatakaswa kwa ujio wa kinnana,

sasa kibanda ajitokeze hadharani atuambie ujio wa kinana umeinufaishaje nchi,chama chake na kibanda mwenyewe
Siku Kinana akipigwa Chini itabidi KIBANDA aje hapa atuambie whats not happening!
 
hata mimi nili mshangaa sana kibanda alipoanza kuwasifia mgamba kama vile kinana ni mtume aliyeshushwa kutoka mbinguni.

akapofushwa na vijisent akasahau kwamba ni mfumo huu mbovu aliokuwa anaukandia akidhani utatakaswa kwa ujio wa kinnana,

sasa kibanda ajitokeze hadharani atuambie ujio wa kinana umeinufaishaje nchi,chama chake na kibanda mwenyewe
Haha...kibamba na Zitto wanafanana..sana.Huwa majasho huwatoka na misamiani wanayoipenda,..halafu wakiongoezea na hofu yao kwa majina,badi hata chongo watasema anapima shabaha....Akianguka wansema mbwembwe..HIchi kizazi cha wapelelezi wetu ambao kuwa bora ktk ujasusi ni kuwa kichaa..
 
Kila mmoja anaweza kumbuka alichosema kwenye uzi huu na kujiona kama alikuwa right au wrong!!!
Pengine wanaweza anza kumbuka...kwa wale wenye uwezo mdogo wa kusoma mambo na kupredict the future.
 
Back
Top Bottom