Chezea CHADEMA weyee! Makamba, Mkama, Kinana OUT..2015 CCM Out

Chezea CHADEMA weyee! Makamba, Mkama, Kinana OUT..2015 CCM Out

Mkuu Ritz
Hawa waliathiriwa na element za gongo wakati wa kurutubishwa tumboni....
teh teh teh teh eti yericko nae anaandaliwa kuwa waziri ha ha ha ha bavichaa kuna mambo

Chadema hatuwataki watu wanaopigana wenyewe kwa wenyewe kisa madaraka hatuwataki kabisa na wala hatutakubali kuiachia Ikulu.
 
Last edited by a moderator:
Chadema hatuwataki watu wanaopigana wenyewe kwa wenyewe kisa madaraka hatuwataki kabisa na wala hatutakubali kuiachia Ikulu.
ok...umeangalia kwa makini nani awanapigana wenyewe kwa wenyewe?
 
Back
Top Bottom