Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Chezea CHADEMA, kila CCM wakichagua kiongozi wakijidanganya kidogo halafu waje danganya wananchi kwa kelele nyingi ili watu wajisahau wadhani kweli magamba yana vichwa na karibu vianze kazi..wapi..kasi mpya ari mpya, haitaki.
JK tu ndio alifaidi media na kufichwa kuwa karibu wataanza kasi mpya,ari mpya ,nguvu mpya..na baadaye akageuza kuwa watendaji wanamuharibia. Akiingia waandishi waliandalia kuwafagilia sana ili wananchi wawe carried away.Na kweli wakabebwa.Sasa wanakwama.
JK hana tena wa kumsingizia, MKapa no, watendaji noo, mawaziri mizigo ...sijui ..CHADEMA sijui .
-Makamba aliingia katika machinjio ya CHADEMA, hakuamini hadi wananchi walipomchoka.
-Mkama kaingia kwa umbea, CHADEMA wakamuumbua.
-Kaja Kinana wakapiga chepuo kuwa atakuja vunja makundi na kuivunja CHADEMA, kuwa anajua sana siri nyingi na ni mtu wa watu, sijui wa watu gani? Sijui wapi Kinana anakubalika kihivyo? ndani ya CCM? hapana, Arusha hapana...
Nae anatoka na kutupwa katika dustbini kama wengine. CHADEMA wanawalaani kabisa.