Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,099
- 9,268
Siku Kinana akipigwa Chini itabidi KIBANDA aje hapa atuambie whats not happening!
mtaishia kusema kontena la kura limekamatwa tunduma mmechoka aiseehaha yako unaipta lini?
mbona hueleweki? usikurupuke ku comment tu kama huna hoja unaweza kuishia kusoma tuSiku Kinana akipigwa Chini itabidi KIBANDA aje hapa atuambie whats not happening!
HIvi naye ritz ni mkuu..?kwa taarifa yako wote wa maCCM waliahidi kuimaliza CCM ..ila wote wameishia ktk trash bin..na bado wengine km wa3 hivi kabl aya 2015
Hata huyu analijua hilo.Chadema ni mpango wa mungu,na kila aipingaye hupata laana ya watanzania .
Chadema ni mpango wa mungu,na kila aipingaye hupata laana ya watanzania .
maCCM kuimaliza CCM?
you are too low!!!
Hata huyu analijua hilo.
![]()
Wewe gongo limeishachafua ubongo wako umekuwa kama sisimizi.HIvi naye ritz ni mkuu..?kwa taarifa yako wote wa maCCM waliahidi kuimaliza CCM ..ila wote wameishia ktk trash bin..na bado wengine km wa3 hivi kabl aya 2015
Mkuu lusungomtaishia kusema kontena la kura limekamatwa tunduma mmechoka aisee
labda useme mtu wa Tembo.Chezea CHADEMA..Kila CCM wakichagua kiongozi wakijidanganya kidogo halfu waje danganya wananchi kwa kelele nyingi ili watu wajisahau wadhani kweli magamba yana vichwa na karibu vianze kazi..wapi..kasi mpya ari mpya, haitaki.
JK tuu ndio alifaidi media na kufichwa kuwa karibu wataanza kasi mpya,ari mpya ,nguvu mpya..na baadaye akageuza kuwa watendaji wanamuharibia.Akiingia waandishi waliandalia kuwafagilia sana ili wananchi wawe carried away.Na kweli wakabebwa.Sasa wanakwama.
JKhana tena wa kumsingizia.....:MKapa no, watendaji noo, mawaziri mizigo ...sijui ..CHADEMA sijui .
-Makamba aliingia ktk machinjio ya CHADEMA..hakuamini hadi wananchi walipomchoka.
-Mkama kaingia kwa umbea, CHADEMA wakamuumbua.
-Kaja kinana wakapiga hepuo kuwa ataluja vuja makundi na kuivunja CHADEMA..kuw anajua sana siri nyingi ,na ni mtu wa watu..sijui wa watu gani..?sijui wapi kinana anakubalika kihivyo..?ndani ya CCM?hapana, Arusha hapana...
nae anatoka na kutupw aktk dustbin km wengine......CHADEMA wanawalaani kabisa.
...na yeye ni mzigo kwa taifa.nasikia qatar airways ipo arusha,loh tunaibiwaa..!Kinana anaelekea kuporomoka kisiasa, kwa kuwa na mwenyekiti mzigo!
Acha kuvuka mipaka wewe!
Wewe gongo limeishachafua ubongo wako umekuwa kama sisimizi.
Huyu jamaa kaigiza haya hadi kawa addict...CDM ndio inakata mbuga..Huyu Mzee ameidhalilisha sana CCM, hakika hawana pa kuchificha
.View attachment 134434
View attachment 134433