Chezea CHADEMA..Kila CCM wakichagua kiongozi wakijidanganya kidogo halfu waje danganya wananchi kwa kelele nyingi ili watu wajisahau wadhani kweli magamba yana vichwa na karibu vianze kazi..wapi..kasi mpya ari mpya, haitaki.
JK tuu ndio alifaidi media na kufichwa kuwa karibu wataanza kasi mpya,ari mpya ,nguvu mpya..na baadaye akageuza kuwa watendaji wanamuharibia.Akiingia waandishi waliandalia kuwafagilia sana ili wananchi wawe carried away.Na kweli wakabebwa.Sasa wanakwama.
JKhana tena wa kumsingizia.....:MKapa no, watendaji noo, mawaziri mizigo ...sijui ..CHADEMA sijui .
-Makamba aliingia ktk machinjio ya CHADEMA..hakuamini hadi wananchi walipomchoka.
-Mkama kaingia kwa umbea, CHADEMA wakamuumbua.
-Kaja kinana wakapiga hepuo kuwa ataluja vuja makundi na kuivunja CHADEMA..kuw anajua sana siri nyingi ,na ni mtu wa watu..sijui wa watu gani..?sijui wapi kinana anakubalika kihivyo..?ndani ya CCM?hapana, Arusha hapana...
nae anatoka na kutupw aktk dustbin km wengine......CHADEMA wanawalaani kabisa.