Hata huo msemo umeshindwa kuuchambua. Nimeshapata jibu msukule.......
ndo ngonjera mnazoimbiana kwenye vikao vya mbege chini ya migomba?
huna jipya kimeo wewe....umepata jibu gani sasa au unajibaraguza tuu....nichambue nini sasa "wewe watu wanaongelewa uswahili ,unaingiza uzungu km hakuna tamaduni nyingine africa"
Wewe ndio msukulu umchukua njia ambayo haikufikishi popote sasa umekwama unaandika ujinga
Mkuu lusungo
Huyu jamaa ubongo wake umekufa total neurologically imekufa, energetically imekufa pia hata biophysically nao imekufa kabakia na akili za kuvukia barabara tu.
Africa for Africans and Europe for Europeans Nicolas
Ritz nae mkuu.....acha kujipendekeza kwanza ww utakua umetumwa na cdm kutuvuruga huku mitandaoni
ha ha ha kwahiyo CDM inavuruga watu eeh?
logic F
comprehension F
Analysis F
huku hapakufai mbulula
Tukuache ukae huku peke yako.....usituvuruge vichwa vetu ccm chama makini
Mkuu lusungo mpenda amani unayejitambua.
kumbe unajua CCM chama makini eeh? sasa unahangaika nini huko kwa matapeli?