Tshs 20000/= Vinakuwa Wiwili Kila Mtu Na Chake
Sahihi Ni Ipi?Hii sio sahihi
Sheria Ya Ndoa Ya Mwaka 1971,Haijafanyiwa MarekebishoHata ndoa ya Kanisan kile cheti kimeandikwa Jamhuri ya muungano wa Tanzania je hcho sio Cha Serikali..?
Kuna gharama za kuandikisha,alafu kuna malipo ndipo ufunge ndoa na kupata cheti malipo haya kama utafunga ndani ya siku 21 ofini kwa mkuu wa wilaya gharama ni 50,000/= na kama ni nje ya ofisi ya mkuu wa wilaya gharama zinazidi hapo kutokana ma mahitaji yako.Sahihi Ni Ipi?
Unafungia Wapi Ndoa, Hao WanakutengenezaAiseee mbona nimeambiwa 110,000/=
50,000 cheti
60,000 mfungisha ndoa
Kuandikisha Ni Bure, Sijaona Gharama Zozote Kwa Uzoefu WanguKuna gharama za kuandikisha,alafu kuna malipo ndipo ufunge ndoa na kupata cheti malipo haya kama utafunga ndani ya siku 21 ofini kwa mkuu wa wilaya gharama ni 50,000/= na kama ni nje ya ofisi ya mkuu wa wilaya gharama zinazidi hapo kutokana ma mahitaji yako.
Unapigwa Asubuhi Na MapemaMkuu ni Tsh ngapi kwani maana nahisi kama wanataka kunipiga
Kiongozi Hapo Unatakiwa Kwenda Na RB, Akikufungisha Ndoa Mnamkamata DCOfisi ya Mkuu wa wilaya
Ninachojua Ambacho Kipo Bayana
Mkienda Kuandikisha Ndoa Ni Bure Ila Taratibu Zipo
Lazima Itangazwe Siku 21,Iwapo Kuna Pingamizi La Haki
Siku 21 Kama Kwa DC Utakuta Tangazo Kwenye Mbao
Kama Kanisani Kila Jumapili Itatangazwa Na Huwa Ni Bure
KWA Kanisa Siku 21 Zikiisha Inafungwa Haraka
Gharama Yaweza Kuwa Kubwa Kama Mtapeleka Matangazo Kwenye Radio, Gazeti, Television Ama Kwenye Blogs
Labda utaratibu mpya?Daah Bongo pa ovyo sna kila mtu mmpigaji
Nimejiuliza sna eti mfungisha ndoa gharama yake 60,000/=