Msaada: TAMISEMI hutoa kiasi gani cha pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya?

chriper

JF-Expert Member
Mar 14, 2023
332
428
Habari wana jamvi, bila shaka mko poa. Poleni kwa hoja za bandari na DP World.

Sasa kuna jambo naombeni wajuzi mnisaidie, hivi pesa stahiki anayopaswa kulipwa mtumishi wa ajira mpya zinazotolewa na TAMISEMI katika halmashauli za wilaya uwa ni kiasi gani yaani huwa ni Tsh. ngapi?

Pia naomba kujuzwa. Je, kila halmashauri znakuwa znatofautiana kiasi cha malipo?

Njooni wadau mnipe nondo hapa. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Kimakaratasi ni kweli,
Ila wanachinjwa sanaa, hasa ukizingatia hii imekaa ki halmashauri.

Halmashauri za mjini wanasema wanakula mzigo mkubwa...
Waoji tu wakiona mna data na mmesimamia misimamo yenu wanawaambia subirini tuwasiliane na viongiz wa juu na mzigo wanatoa kama mnavyotaka mkinyamaza mbona wanawapa hata laki laki nyingine mnapigwa
 
Back
Top Bottom