Cheti cha kuzaliwa cha mtotosix

Cheti cha kuzaliwa cha mtotosix

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,414
baada ya speculatiosn nyingi, huyu kudai ni ndugu yangu, huyu kadai mchumba wangu ni dada angu, sasa nimeamua kukata mzizi wa fitina nimeamua kuweka cheti changu cha kuzaliwa hapahapa. kwa iyo ndugu zangu wa ukweli mtani pm...:A S 465:


attachment.php
DISCLAIMER: CHETI HIKI NI FOR ENTERTAINMENT PURPOSES [CREATED BY PHOTOSHOP BY ME]. I WONT BE RESPONSIBLE FOR ANY USES OTHER THAN MENTIONED ABOVE
 

Attachments

  • CHETIIIIIIIII.jpg
    CHETIIIIIIIII.jpg
    187.6 KB · Views: 855
Kumbe ni kulekule anapotokea mheshimiwa presidaa.hongera ndo maana umeikimbia familia yako kwa madiba
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kijana kuanzia sasa uko chini ya urinzi kwa matumizi mabaya ya cheti cha kuzaliwa. Una masaa 24 kuanzia sasa ya kujisarimisha katika kituo cha polisi kilichopo karibu nawe.

kuuthibitishia umma kuwa ni matumizi mabaya?
 
Nimeipenda mahali ulipozaliwa - Tupendane Gesti. Unatisha mkuu
 
much respect ngoja tuwasubiri wenye dauti na kielelezo chako.
 
good evidence my huz, so hakuna doubt tena. . . baraka za pande mbili zimetolewa na tarehe ya harusi ishapangwa. . . ndoa itakuwa tarehe 31-10-2012. oukey hny sasa tulale make me leo nimechoka hata kumbatio lako naomba ulihifadhi mpaka wakati wa cha alfajiri. me lv u sana!
 
hahahahahaaaa....!!!. Unafikiri unamtisha nani kwa mfano?. mia
 
Back
Top Bottom