Chenge: Mimi ni nyoka mwenye makengeza msaka pesa

Chenge: Mimi ni nyoka mwenye makengeza msaka pesa

Embezzlement, for majority of Tanzanian, is not something new. What is new is when someone overtly or covertly involves himself in embezzlement and go around bragging about it
for me,350+ abroad trips is the bragging right!
 
huo inawezekana ulikua ni msemo wa kisukuma kuonyesha ushujaa fulani.pengine aliuforce into kiswahili ili ufit alichotaka kusema,au pengine alikua anahutubia kisukuma then waandishi wakaitafsiri.

kisukuma ni,'Nzoka omalyenge'

labda wanafasihi wa Ntuzuland wanaweza kufafanua zaidi
Elungata mzima weye? Uko sawa ktk maelezo yako Mkuu..unajua huyu Chenge ni myantuzu kabisa na ktk kabila letu sisi wasukuma Wa ntuzu tuna maneno mengi sn ya matani, ushujaa etc sasa km mtu akikurupuka basi anaweza kuingia kingi km hao waandishi...alichomaanisha Change yeye ni shujaa..sote tunajua sifa ya nyoka kua ni mwelevu sn....sasa ukiongeza na hayo makengeza basi ndio anaona kweli kweli...maana ukimtazama mtu alie na makengeza unaweza ukadhani yeye hakuoni kumbe ndio anakuangalia wewe.

charminglady umepotea sn Dada yng!?

Mzima lkn? Asante kwa kuniita hapa...nikutakie jioni njema!
 
Last edited by a moderator:
Katika hali iliyoniacha mdomo wazi, kwenye kipindi cha watanzania tuzungumze magazeti cha RFA, imesikika kwenye moja ya magazeti Mh. Vijisenti Bwana Andrew Chenge akisisitiza kwamba yeye siyo mwizi au fisadi kama wengi tunavomwita bali yeye ni nyoka mjanja mwenye makengeza mtafuta pesa, Amejitetea kwamba yeye anajitahidi kutafuta pesa kwa ajili ya wananchi wa bariadi west, tukumbuke pia huyu katika` harakati za chama chake kujivua gamba alishawahi kusema yeye gamba lake limekwamia kiunoni mwenye shoka aende akalimalzie, lakini pia tusisahau kwamba huyu ndie alikua mwenyekiti kamati ya uandishi Katiba pendekezwa ambayo inapgiwa chepuo na serikali ya CCM. Nakusihi kasome ibara ya 29 ibr ndg 2b, then unganisha na hizi kauli za mh.joka vijisenti, then ng'amua mwenyewe kupiga kura aidha ya hapana au ndio kwa katiba ya Joka Makengeza Msakapesa.. Tafuteni hlo gazeti mimi nipo kijijn mda huu =================== Chanzo:Nipashe ================= J. Mnyika atoa maoni juu ya Kauli ya Chenge Chanzo: Nipashe
Alisahau masharti ya mungu wa wao wa kuzimu maneno ya kumdhalilisha yakamtoka km yule jamaa wa serikali arusha alivyosahau funguo Chatu akatoka nje na kumdhalilisha.
 
Andrew Chenge kahusika katika mission zote za kifisadi zilizoliingizia taifa hasara kubwa sana.

Lakini mpaka sasa hakuna Rais alieweza kumchukulia hatua,wala hakuna chombo chochote kilochoweza kumchukulia hatua yoyote.

Leo kwenye ripoti ya pili ya mchanga wa madini katajwa tena kuhusika moja kwa moja kwenye kusaini mikataba ya ovyo lakini Mh Rais ajafungua kinywa chake na kumuongelea Andrew Chenge.

Uyu ndie Chenge "FISADI MKUU"
58a95ecfcc3f9ed7fc951025b3aaa9ff.jpg
 
Jamaa hagusiki naona Ngoja tuone game likatavyoendeleaa

Ova
 
Tuone sasa kama huyu na akina Karamagi, Daniel Yona na wahusika wengine watashughulikiwa ipasavyo. Kumbe inawezekana kabisa kufukua makaburi ya zamani, sasa makaburi yote ya zamani yafukuliwe mara moja bila kuchelewa ikiwemo lile la Escrow na Lugumi. Mhusika mwingine Abdallah Kigoda ni marehemu sasa.
 
Hawaguswi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ndo mmoja wa viongozi wa bunge letu tukufu aitwaye mwenyekiti wa bunge. kwa kweli huyu alipaswa awepo segerea na sio bungeni...
 
kigoda ndo atarushiwa mpira wote.nimeelewa kwanini mkapa alikuwa anampenda sana kigoda kumbeee ni biashara meen
 
Kama mhilo likitokea basi sifa zote ambazo amejizolea katika kusimama kidete na kugundua huu wizi mkubwa zitayeyuka. Kuna faida gani ya kugundua wizi mkubwa kiasi hicho karibu 200 trillion kasha wahusika wasiguswe na mkono wa sheria. Ngoja tuone hili sakata linaweza kuibua mambo mengi sana kati ya MACCM dhidi ya MACCM.

Hawaguswi.
 
Chenge ni Tunu ya taifa, huwezi ukamfananisha na Lissu anayelialia eti mikataba ipitiwe upya, Mara ooh tunaibiwa, Mara mikataba iletwe bungeni. Si unaona hata rais kaamua kufuata ushari wa Nani?
Magu kakosa kabisa maneno na namna ya kumuua Lissu.
Andrew Chenge kahusika katika mission zote za kifisadi zilizoliingizia taifa hasara kubwa sana.

Lakini mpaka sasa hakuna Rais alieweza kumchukulia hatua,wala hakuna chombo chochote kilochoweza kumchukulia hatua yoyote.

Leo kwenye ripoti ya pili ya mchanga wa madini katajwa tena kuhusika moja kwa moja kwenye kusaini mikataba ya ovyo lakini Mh Rais ajafungua kinywa chake na kumuongelea Andrew Chenge.

Uyu ndie Chenge "FISADI MKUU"
58a95ecfcc3f9ed7fc951025b3aaa9ff.jpg
 
Kama mhilo likitokea basi sifa zote ambazo amejizolea katika kusimama kidete na kugundua huu wizi mkubwa zitayeyuka. Kuna faida gani ya kugundua wizi mkubwa kiasi hicho karibu 200 trillion kasha wahusika wasiguswe na mkono wa sheria. Ngoja tuone hili sakata linaweza kuibua mambo mengi sana kati ya MACCM dhidi ya MACCM.

Kama kashindwa kumtaja Chenge,unadhani anaweza kupambana nae?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom