Kwakweli Huyu Bwana Ni Kipenzi Cha Watanzania! Rada Yumo, Richmond Yumo, Escrow Yumo, Mabillion Ya Uswis Tetes Yumo, Uandishi Wa Katiba Ndio Mwenyewe, Kamati Ya Bajeti Alikua Mwenyekiti Na Mengine Meeengi!! Nadha Asingekua Kipenzi Cha Wa Tanzani Kwa Kashfa Zote Hizi Asingetakiwa Kupewa Nafasi Zote Hizi Muhimu Kwa Taifa Letu. Huyu Jamaa Ni Hatari! Yaani Angekua Nchi Za Wenzetu Hasa Za Magharibi Sheria Inakoheshimika Angemalizia Umri Wake Jela. Ni Kichekesho Mtu Anatuhuma Za Wazi Wazi Anavitunishia Mishuli Vyombo Vya Serikali. Huyu Ndio Andrew Mtemi Chenge Bwana.
Inaonesha yupo katika kila upigaji kwa kuwa wanamtumia yeye kama mtaalamu wa kutayarisha mikataba ya madili. Hivyo hakuna dili linalo mpita, mjanja!