Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,041
- 13,473
Huyu jamaa atavuka katika hili kama alivyovuka mengine
Kama kashindwa kumtaja Chenge,unadhani anaweza kupambana nae?
🙄🙁😡😀🙄🙁😡😀 Duh! Sh'kamoo Legend!...Uyu ndie Chenge "FISADI MKUU"
![]()
wakati ripoti inatolewa yeye anaongoza BUNGE...chombo kikuu chakutunga sheria!! Hii nayo inaweza tokea Tanzania tuu
Rais ameagiza wale wote waliotajwa na kamati kuhusika katika kuitumbukiza nchi kwenye mikataba hiyo ya kifisadi wote washughulikiwe hivyo nina imani sasa ataguswa