Chenge kujivua gamba leo?

Status
Not open for further replies.
Nape yuko kwenye FB hasemi CHOCHOTE KUHUSU CC
 
mi nadhani kama amejivua gamba kinachofuatia ni kushitakiwa na kurudisha mali za taifa hili maana naona kama kuachia ngazi ndo imekuwa fashion ya kusamehewa mabaya ambayo yamekufanya uachie ngazi,wasiposhitakiwa basi wananchi wataaamua
wakumshtaki nani????gire si umeskia kaigaragaza serikali????
 
Asante eeh Mungu kwakuwa umesikia kilio na ombi langu dhidi ya anguko takatfu na hatmaye kifo cha chama cha sisiemu(magamba). Ameen
 
huyo mzee alivomlafi wa madaraka sisdhani kama atautema ubunge.

Nakumbuka alikuwa mgombea wa kiti cha speaker wa bunge la sasa, sasa kukubalia kuachia ngazi za chama inawezekana, lakini u bunge, mmmhh
 
mkuu upo nyc sisi hapa bongo hatujapata taarifa kama hizo
vipi kuhusu mzee wako atajivua lini gamba?
 
ajivue gamba au ajichune ngozi, sisi tunamngojea 'galilaya' ni lazima waje watueleze tu walizipataje mali. Meremeta, tangold na epa siku moja watakuja kutoa maelezo mbele ya pilato kwa style kama ya Liyumba
 
Hawa jamaa wanachofnya ni USANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII! Wanajua wa TZ wengi ni misukule. Wakitumia gamba mambo yanakuwa poa.
 
Vip kajitoa na Ubunge au ni uNEC tu?
Umejuaje kajivua "uNEC"? Tumeambiwa "kaachia ngazi," inawezekana kajitoa ujumbe wa Kamati ya Maadili au kaachia ngazi ya kuwa registered advocate of the High Court au kaachia ngazi ya umeneja wa mashamba yake.

Who knows?
 
hilo lina manufaa gani kwa taifa letu. I just thought the man has returned all that he has stole from us and he is serving 30 years in jail.
>tena wamcharaze viboko 6 kila siku mpaka miaka selasini yake ya jail iishe!
 
nakubaliana nawe kwamba jk aachie ngazi. Leo hii kasulu-kigoma mafuta petrol yako kituo kimoja World oil.wanauza sh 2350/=,kuyapata kayi.waranguzi wanaouza sh 2500 leo wameuza elfu 3. Tatizo sio chenge,rostam na lowasa,the all system have to be overhauled immediately
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…