Chenge: CCM wanamtengeneza Lowassa mpya?

Kama wewe ni miongoni mwa watanzania wanaamini kuwa Chenge ni msafi na tuhuma zinazomkabili ni za kusingiziwa na anaonewa tu,sina haja ya kubishana nawe!kwasababu itakuwa ni tatizo la uelewa wa mambo!
Nani aliye msafi hapa . Suala sio tatizo la uelewa ni ushabiki usio na tija. Kuelewa naelewa ndio maana nimesena someni mwenendo wa case hiyo na hukumu yake. Nionyeshe wapi chenge alitajwa kwenye case hiyo. Ndio maana walimsafisha. Lkn kwa kuwa hutaki kusoma kazi kwako
 
Wote tunaikumbuka nguvu ya Lowassa ndani ya CCM ilianza kama masihara matokeo yake Lowassa akakuwa mpaka akafikia hatua akawa kama untouchable licha ya kuwa na kashfa za ufisadi lakini nguvu yake ilikuwa kubwa kiasi cha kukitikisa chama.

Naiona hiyo nguvu pia anaanza kuwa nayo Mtemi Chenge akiwa mwenyekiti wa bunge amekuwa na sauti kuliko ata spika na naibu wake kiasi cha kufukuza mpaka mbunge kikaoni.

Wasiwasi wangu ni kuwa CCM haswa wabunge wake wanatutengenezea Lowassa mpya maana ni wazi Chenge kapata uenyekiti wa bunge baada ya kuchaguliwa na wabunge haswa wa CCM. Sielewi haswa mapenzi ya wabunge wa ccm kwa Chenge yalitoka wapi au labda ni nguvu ya vijisenti ila kwa kweli katika vitu vinavysikitisha ni hili la Chenge kuwa mwenyekiti wa bunge na kuwa anafanya maamuzi haswa yanayousiaana na rushwa ikiwa yeye alikamatwa 'ready handed' na SFO kwenye ishu ya rada.

Nashauri Magufuli awe makini sana na huyu mtu anakuwa taratibu na anapata moral authority ya kushughulikia wanaotoa tuhuma za rushwa. Najua Magufuli awezi kupingana na maamuzi ya wabunge wake ila muda sio mrefu anakabidhiwa rungu la uenyekiti wa chama awa ndio majipu ya chama.

La sivyo ufisadi utakuwa ni wimbo wa kisiasa tu kama wapinzani walivyompa mtuhumiwa wa ufisadi kugombea urais na ccm mnampa mtuhumiwa wa ufisadi kuliongoza Bunge.
Chenge ni Kansa ndani ya CCM. Anachofanya kwa sasa ni kuiaga CCM kwa vitimbwi akijua kwamba hana sehemu ya kutokea zaidi ya hapo alipo. Anachofanya sasa hivi ni kumwaga mboga na kuichafua Serikali ya CCM kwa mgongo wa Bunge. Kama hata shughulikiwa mapema ataliingiza bunge kwenye matatizo ambazo yatakiingiza Chama Cha Mapinduzi matatani mbele za Watanzania wenye kuendelea kuiamini serikali ya Magufuli. Hili la kusema wana mtengeneza Lowassa mwingine sio la kweli kwa mtu kama Chenge kwasababu hana uwezo wa kushawishi na kukubalika. Anakiua chama ndugu yangu..!!!
 
Tusubiri kwanza i mahakama ya mafisadi. Mafisadi wapo ila si lowssa wala chenge. Hao ni chambo tu
 
Anayeamini JPM anapambana na UFISAD ni.kama anaota tu,siamin kuwa JPM hakua akijua kama jamaa atakua mwenyekit wa Bunge,siamini kabisa kabisa
 
huyu ni kubwa la maadui, kwani katika mapacha watatu yeye tu ndio amekomaa na kwa sasa anarundikiwa na vyeo tu, sasa anaweza hata kuwa mwenyekiti wa CCM Taifa. Sijui Mitanzania tuna mashetani gani? Fisadi mhujumu uchumi kuongiza bunge, watu hatuko serious, huyu anakuwa na maamuzi ya ajabu
Mkuu mimi sikufatilia kwa karibu uteuzi wa Chenge, hivi kawekwa pale na wabunge wenzake au kateuliwa na Spika wa Bunge?
 
Hakuna namna unaweza kumtenganisha fisadi CHENGE na CCM.

Ni sawa na kumuweka samaki nje ya maji!
 
Wote tunaikumbuka nguvu ya Lowassa ndani ya CCM ilianza kama masihara matokeo yake Lowassa akakuwa mpaka akafikia hatua akawa kama untouchable licha ya kuwa na kashfa za ufisadi lakini nguvu yake ilikuwa kubwa kiasi cha kukitikisa chama.

Naiona hiyo nguvu pia anaanza kuwa nayo Mtemi Chenge akiwa mwenyekiti wa bunge amekuwa na sauti kuliko ata spika na naibu wake kiasi cha kufukuza mpaka mbunge kikaoni.

Wasiwasi wangu ni kuwa CCM haswa wabunge wake wanatutengenezea Lowassa mpya maana ni wazi Chenge kapata uenyekiti wa bunge baada ya kuchaguliwa na wabunge haswa wa CCM. Sielewi haswa mapenzi ya wabunge wa ccm kwa Chenge yalitoka wapi au labda ni nguvu ya vijisenti ila kwa kweli katika vitu vinavysikitisha ni hili la Chenge kuwa mwenyekiti wa bunge na kuwa anafanya maamuzi haswa yanayousiaana na rushwa ikiwa yeye alikamatwa 'ready handed' na SFO kwenye ishu ya rada.

Nashauri Magufuli awe makini sana na huyu mtu anakuwa taratibu na anapata moral authority ya kushughulikia wanaotoa tuhuma za rushwa. Najua Magufuli awezi kupingana na maamuzi ya wabunge wake ila muda sio mrefu anakabidhiwa rungu la uenyekiti wa chama awa ndio majipu ya chama.

La sivyo ufisadi utakuwa ni wimbo wa kisiasa tu kama wapinzani walivyompa mtuhumiwa wa ufisadi kugombea urais na ccm mnampa mtuhumiwa wa ufisadi kuliongoza Bunge.

Uandishi huu wa headline haukubaliki. Namna ulivyoweka headline hii it is as if maneno ya 'CCM wanamtengeneza Lowassa mpya' yamesemwa na Chenge. Hii siyo sahihi hata kidogo.
 
ufisadi na ccm dugu moja uwezi tenganisha
Corrections!
Sio ufisadi na ccm!
Ni ufisadi na siasa za Tanzania!
CHADEMA nao wanakashfa nyingi za ufisadi na kama utaweka uwiano wa rasilimali, umri na nafasi za kisiasa chadema wanaweza kuwa wabaya kuliko ccm! Wana rasilimali chache na nafasi ndogo sana lkn wanapiga humohumo!
 
Siyo Chenge tu hata fisadi wa mabehewa feki Mwakyembe na fisadi wa Escrow Muhongo kupewa uwaziri ni fedheha kubwa kwa watanzania
 
Kwa miji-issue iliyomkabili Nyoka Makengeza kuhusu kashfa ya Vijisenti,Kibri ya kugomea mamlaka kuhojiwa juu ya tuhuma zile,Kama ingekuwa Korea angewekwa kwenye uwanja wa Shabaha ya Makombora ya masafa marefu ili asionekane tena!
 
BAhati mbaya sana maana dua hili hata shetani hawezi kulisikiliza.
 
Wote tunaikumbuka nguvu ya Lowassa ndani ya CCM ilianza kama masihara matokeo yake Lowassa akakuwa mpaka akafikia hatua akawa kama untouchable licha ya kuwa na kashfa za ufisadi lakini nguvu yake ilikuwa kubwa kiasi cha kukitikisa chama.

Naiona hiyo nguvu pia anaanza kuwa nayo Mtemi Chenge akiwa mwenyekiti wa bunge amekuwa na sauti kuliko ata spika na naibu wake kiasi cha kufukuza mpaka mbunge kikaoni.

Wasiwasi wangu ni kuwa CCM haswa wabunge wake wanatutengenezea Lowassa mpya maana ni wazi Chenge kapata uenyekiti wa bunge baada ya kuchaguliwa na wabunge haswa wa CCM. Sielewi haswa mapenzi ya wabunge wa ccm kwa Chenge yalitoka wapi au labda ni nguvu ya vijisenti ila kwa kweli katika vitu vinavysikitisha ni hili la Chenge kuwa mwenyekiti wa bunge na kuwa anafanya maamuzi haswa yanayousiaana na rushwa ikiwa yeye alikamatwa 'ready handed' na SFO kwenye ishu ya rada.

Nashauri Magufuli awe makini sana na huyu mtu anakuwa taratibu na anapata moral authority ya kushughulikia wanaotoa tuhuma za rushwa. Najua Magufuli awezi kupingana na maamuzi ya wabunge wake ila muda sio mrefu anakabidhiwa rungu la uenyekiti wa chama awa ndio majipu ya chama.

La sivyo ufisadi utakuwa ni wimbo wa kisiasa tu kama wapinzani walivyompa mtuhumiwa wa ufisadi kugombea urais na ccm mnampa mtuhumiwa wa ufisadi kuliongoza Bunge.
UNajua maana ya re

By the way ni red-handed. Lkn pis unajua maana ya red handed? Ni wp SFO ilisema imemkamata red-handed?
 
Observation yako ni nzuri, huyu Chenge ana washughulikia wale wanaopinga ufisadi! JPM na CCM wasitegemee jema lolote toka kwa Chenge.

Ni Aibu Chenge ni Kama Nicholas Biwott wa Kenya alivyokuwa, Fisadi ambaye anachora Michoro ya Wizi kwa Niaba ya Wakubwa. Jiulize Kwanini Chenge Alipewa hata Tiketi ya Kugombea Ubunge Kama CCM wanakata Majina ya Mafisadi. Chenge Ni mwizi, tofauti na Lowassa Ushahidi Upo. Chenge Yupo pale Kulinda Maslaahi ya Mafisadi hasa Kikwete na Mkapa.

Achana Na huu tu ufisadi wa Mikataba na Fedha za Umma, Pia wanamichoro ya Kimafya Kama Mnakumbuka Marekani ilishaichimbia Mkwara Serikali ya Kikwete kwa Kuzipeperushia bendera ya Tanzania Meli za Mafuta za Iran iliyokuwa imewekewa Vikwazo vya Uchumi. Wakati huo Pipa la Mafuta lilikuwa $ 100-110 sasa Pipa ni $ 35. Jiulize Walifanya hivi Bila Kuhogwa? Wakati huo Mwanasheria Mkuu alikuwa Chenge! Hiyo ilikuwa mwaka 2012 waliposhitukiwa Zilikuwa Meli Kubwa za Mafuta 35. Utetezi wao eti hawakujua.
Waliweza Kutumia Bendera ya Nchi yetu Kukiuka sheria za Kimataifa Kujinufaisha wenyewe huku wakijua, wangaliweza Kuleta hata maafa ya Vita juu yetu.

Tanzania probes Iran oil tankers re-flagging allegations - BBC News

Chenge Yuko Pale Bungeni Kuzima Kila Kitu Kitakachoibuliwa Kinyume chake na Mafisadi wenzake. Na nahisi walimtumia tu Magufuli ili washinde lakini hawautaki kabisa Moyo wake. Sikiliza Kicheko cha Kikwete cha Kebehi Kwa Magufuli.
Kutatua Matatizo Ni mwito Unaotolewa kwa Kicheko cha aina hii kweli (Wazungu wanakiita sarcastic lough)
 
Kweli mna kazi jina hili litawatoa nyongo. Kila kukicha hamlali. Yeye yuko na ataendelea kuweko mpaka siku Bwana atakapoamua. Mtamuita majina yote lkn wananchi wake walimchagua. Wengine komaeni na wabunge wenu
 
Back
Top Bottom