Karandinga
Member
- Jun 25, 2008
- 66
- 1
Karma! RIP to the deceased.
Polisi akiokota mabaki ya bajaji bila kuvaa gloves
Sakata lingine lilikuwa kwa familia ya Chenge hasa upande wa mtoto wake wa kike ambaye aliondoka kituo cha Polisi na kwenda nyumbani kubadilisha nguo mara ya kwanza alikuwa amevalia suruali na brauzi , akaenda kubadili na kuvaa gauni jambo liliwashangaza baadhi ya watu waliofurika hapo polisi,
Pia muda wote alikuwa bize akiongea na simu huku akiwa amevalia miwani meusi.
Picha zaidi gonga http://www.nifahamishe.com/album_preview.aspx?AlbumId=265671http://www.nifahamishe.com/album_preview.aspx?AlbumId=265671http://www.nifahamishe.com/album_preview.aspx?AlbumId=265671
Na hata kama huyo dereva hajapatikana,bado kuna ushahidi wa kutosha tu wa kupress charges,kuna aliyekuwa akiendesha bila insurance,akiwa mlevi na kwenda kuigonga Bajaj na raia wema kina dada wa watu,pia hakusimama na alikwenda polisi kesho yake.
Polisi akiokota mabaki ya bajaji bila kuvaa gloves
Sakata lingine lilikuwa kwa familia ya Chenge hasa upande wa mtoto wake wa kike ambaye aliondoka kituo cha Polisi na kwenda nyumbani kubadilisha nguo mara ya kwanza alikuwa amevalia suruali na brauzi , akaenda kubadili na kuvaa gauni jambo liliwashangaza baadhi ya watu waliofurika hapo polisi,
Pia muda wote alikuwa bize akiongea na simu huku akiwa amevalia miwani meusi.
Picha zaidi gonga http://www.nifahamishe.com/album_preview.aspx?AlbumId=265671
Sasa hapa ndio kesi inatakiwa iwe moto, sababu kwanza ni hit and run, pili ni lazima yeye aprove beyond resonable dought kwamba alikuwa sober. Nadhani hapa ndio mahala muafaka kwa kumfunga maisha huyu jamaa... Hii ingekuwa nchi za west District attorney angkuwa anashangilia, maana kubuild hii kesi ni simple.
Moja ameuwa bila kukusudia lakini akiwa amelewa
Pili, ni hit and run ambayo nadhani ni crime kwa Tanzania.
Combine hizi mbili then unaweza kumpeleka more than 20yrs jela.... Kama muendesha mashitaka kasoma sheria na sio kubabi hii kesi ni easy kushinda.
Mkuu jmushi1, ninavyofahamu mimi mpaka sasa hivi ni kwamba, ajali hiyo imetokea leo asubuhi majira ya saa 10. Sidhani kuwa alikwenda polisi kesho yake, kwasababu ili hiyo iweze kuwa kweli, inabidi muda huu upite hadi itakapopita saa usiku huu.
Ohooo!
Habari ninazozipata sasa zinadai wameenda na mkuu Andrea Chenge kwenye eneo la tukio, ndo wamerudi kituo cha polisi O'bay sasa hivi.
Kifupi, inasemekana Chenge alikuwa anaendesha gari ambalo Insurance (bima) yake ime-expire (imeisha muda wake) tangu 2007
statement ya chenge, kupitia habarileo::::
"""Bajaj ile ilikuwa inataka kupita gari jingine lililokuwa likitoka Morogoro Stores, bahati mbaya kukawa na gari lingine linakuja, ile bajaj ikabana upande wangu na mimi nilikuwa katika mwendo wa kati ya kilometa 80 hadi 100 kwa saa, alidai Chenge. Alidai kuwa baada ya kuona bajaj ile inakwepa gari la mbele wasigongane uso kwa uso, alirudi upande wa kulia ndipo alipoigonga ubavuni kushoto. "Gari la nyuma lingesimama, dereva wake angeweza kueleza vizuri, ila baada ya ajali nikasikia watu wanaita 'Chenge! Chenge! nikajua niko salama, nikashuka, alidai. ""
Conclusion yangu ni kuwa:::
Chenge ndiye aliyekuwa anataka kuipita bajaj kwa mwendo wa kasi, na alipoona kuna gari linakuja upande wa kulia akakwepa head on collision ndio akarudi kwenye lane iliyokuwa bajaj, na kuigonga kwa upande wake wa kushoto.
Swali gumu nalopata ni kwanini dereva wa bajaj kakimbia?? Sioni sababu yoyote ya yeye kukimbia?? Je amekimbia au kawekwa sehemu?? Nadhani utata wote upo hapo, lakini kiutaalamu hii accident picha na maelezo ya chenge, conclusion ni hiyo tu, yeye ndiye aliyekuwa anataka kuovertake.