Ningemshauri sasa JK awe karibu na JF na asikilize USHAURU unotolewa hapa kulikokukutana na aibu hii
Developing news....lakini nimeambiwa sasa hivi na mtu ambaye ni credible
Ila wakuu with all that said,, mtakumbuka kuwa alipoteuliwa mara ya pili mwezi February kinyume na matarajio ya wengi, alisema kuwa kwa wale wanaoshangaa wakamuulize aliyemteua (Mh Rais) ...sasa mi naona kama amemdalilisha sana JK katika hili!
Na pia najiulize je, kama JK alikuwa anayajua haya, assuming kuwa lishahabarishwa na RO, je alimwacha kwa makusudi aanguke mwenyewe na yeye akabaki kunawa mikono kama pilato?
Na huu msalaba ataubeba chenge peke yake au kutakuwepo na wa kumsaidia kama ilivokuwa kwa EL?
Ningemshauri sasa JK awe karibu na JF na asikilize USHAURU unotolewa hapa kulikokukutana na aibu hii
Maneno mazito haya mkuu!..There's nothing to jubilate here! Bado chenge ni mbunge, mnec and mCC wa ccm! Kwan nafasi hizo sio uongozi?? Ths s fucken business! We will jubilate resignation zao kama wataachia ngazi kwenye nafas zote! Including za chama! Wote lowasa,chenge, msabaha,karamagi. Vinginevyo bd hatujafanya kitu
Mimi naamini kabisa kama Mh.Kikwete ni msafi tena msafi wa uhakika.kama kuna wachafu basi hao walidandia basi la Mh.Kikwete na kutaka kumsaidia wakiweka matumaini kuwa atawapatia lifti ,mara nyingi wanaosaidia kusukuma gari nao hutaka msaada wa kufikishwa wendapo.
Kwa ufupi Mh.Kikwete hakuwa mwizi wa fadhila aliwapa msaada na kuwafikisha waendapo ,kama walikula dawa ili wapate nguvu za kumsaidia hilo litakuwa tatizo lao ,Mh.Kikwete hakutaka kujua jamaa walipata wapi nguvu za kulisukuma gurudumu lake la kupanda kilima cha Uraisi kwa kishindo ,yeye aliona tu kuwa gari limeshika kasi na kuondoka hivyo aliowapakia aliwasaidia kwa kuwalipa shukurani.Sasa kusema Kikwete alishinda kwa sababu wasukumaji wake walikula vidonge vya kuongezea nguvu ili waweze kulisukuma gurudumu na wao wapatiwe lifti ,hilo litawagusa hao waliotumia vidonge si kwa msukumwaji.Kawafikisha safari yao ,sasa kama waliiba fedha za kupata nguvu au hapo walipofikishwa ndipo walipokusudia kuiba ,that will be another case ,fagio la chuma likipitishwa inavyotakiwa Mh.Kikwete asiukumbuke ule wema aliotendewa kwani alikwisha walipa wema ,atimize majukumu ya Uraisi na kuangalia mbele awache sheria ichukue mkondo wake huku yeye akiwa msimamizi na kuwaeleza wasaidizi waliomsaidia kusukuma gurudumu kuwa kama angelijua ni majambazi asingeliwafikisha safari yao.
shauri yako unapenda kutukanwa na LUNYUNGU WEWE?????? hujui lunyungu hawapendi wa-zanzibari?????
Hivi
JK anajisikia je? kila anayemteua ni fisadi na anajiuzuru.
Kama mimi ningekua Rais na mimi nigebwaga manyanga ,harafu ngoma inakua droo tunaona nani mjanja.
Ama naye anasubiri kale ka usemi katimie- siku ya mbwa kufa pua zote huziba
Hutuwezi kumtofautisha JK na ufisadi hata kidogo, hatuwezi kusema Usalama wa Taifa hawakumwambia JK matatizo ya AC, JK anausika moja kwa moja na ufisadi wa mawaziri wake, atueleze ukweli tuendelee kumwamini kwa lipi.
Hutuwezi kumtofautisha JK na ufisadi hata kidogo, hatuwezi kusema Usalama wa Taifa hawakumwambia JK matatizo ya AC, JK anausika moja kwa moja na ufisadi wa mawaziri wake, atueleze ukweli tuendelee kumwamini kwa lipi.