NakuliliaTanzania
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 555
- 7
Ni kweli kuna watu wengine hatumjui huyu Dr.Mauwa Daftari, Je unaweza kutuelimisha zaidi kuhusu mtu huyu. najua muda ni mali ila kwa kitu kama hiki sidhani kama utakuwa unaupoteza bali utakuwa unautumia ipaswavyo. Kwanza nataka kujua kama ni Dr. wa watu au ni title? Unaweza kutufahamiasha ana sifa gani za kuweza kuongoza wizara nyeti kama hiyo? sio kwamba ninam-grill ila naogopa kurudia makosa. Haitakuwa the same kama la aliyetangulia lakini impact yake ni ile ile...kurudisha maendeleo nyuma au kuwanyima wananchi accessibility previlage. Kama mlivyosema watu wengi wanasoma michango yetu, basi tuwe waangalifu tusiwapotoshe kwenye maamuzi yao.
http://www.majira.co.tz/kurasa.php?soma=tanzania&habariNamba=6401Waziri aomba Mahakama Kuu imfutie kesi
Na Grace Michael
NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Maua Daftari ameiomba Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali kesi ya madai ya sh. milioni 500 iliyofunguliwa dhidi yake na mfanyabiashara, Bi. Fatma Salmin kwa kumkashifu.
Katika utetezi wake uliowasilishwa Mahakamani hapo mwishoni mwa wiki kupitia wakili wake, Bw. Peter Swai, Dkt. Daftari alieleza kuwa kesi hiyo namba 34/2008 haina msingi wowote kwa kuwa mdai hana kigezo cha kusimamia madai hayo.
Dkt. Daftari alidai kuwa madai ya mfanyabiashara huyo hayana msingi wowote kwa kuwa hakuna maneno yoyote yenye kashfa aliyoyatoa yenye lengo la kumkashifu kama ilivyodaiwa kwenye hati ya madai ya mlalamikaji....
...Remember mpaka leo tunalipa 152,000,000,000 KILA SIKU kwa kampuni ambayo haipo na haijawahi kuwepo!
According to the dataz, ni kwamba alikuwa na barua ya kujiuzulu tayari toka akiwa u-China, ndio maana hakwenda US, hizi filimbi za vijisenti alikuwa anazuga tu kwani alikuwa tayari amemfahamisha rais walipopata habari tu kule China kuwa anajiuzulu mara moja,
More dataz ni kwamba kuna wanasiasa wa hapa bongo wakishirikiana na wa UK hasa Blair, wanamshinikiza Brown, asimamishe uchunguzi wa Radar uliomponza Chenge..........!
tunaendelea kuzitafuta dataz on how it happened.....mpaka Chenge kujiuzulu!
Nadhani its about time tukaelekeza mashambulizi kwa MUSTAFA MKULLO...waziri wetu wa UCHUMI mwenye degree feki
Hivi lets be real kidogo here....Swali...Chenge has 25 million and all these funds magically appeared recently (EPA, BOT?) also Tangold Money from Deep greenfinance, if he was just the funds man....How much did the higher ups make (Mkapa, Rostam, Lowassa, Muungwana and others)...anyone can give us a ballpark figure. I am certain the "vijisenti"comment referred as to who got what.
Well said. Mimi nampongeza JK kwa yote aliyofanya mpaka sasa. Anayepinga pongezi zangu anaweza kuuliza kwanini nami nitajieleza.
1. Kama binadamu wa kawaida lazima uwe na soni. JK lazima alipe fadhila za kusaidiwa kwenye kampeni. Tatizo ni kuwa waliotoa fadhila hawakuwa wasafi.
2. JK ana moyo mzuri tu, anaacha chips zi fall zipendapo (ES), ameshaanza kuziachia zianguke, sasa anasafisha uwanja tayari kwa kuijenga nchi.
3. Uhuru we press, JK amejitahidi sana kwenye hilo, jamaa ni simply muungwana. System alio nayo (aliyorithi) ilikuwa imeshachafuka, huwezi kupiga system yooote chini mara moja, it takes some days/years kui clean up. Muungwana ameanza. tumpeni support.
Ni yangu machache hayo.
Well said. Mimi nampongeza JK kwa yote aliyofanya mpaka sasa. Anayepinga pongezi zangu anaweza kuuliza kwanini nami nitajieleza.
1. Kama binadamu wa kawaida lazima uwe na soni. JK lazima alipe fadhila za kusaidiwa kwenye kampeni. Tatizo ni kuwa waliotoa fadhila hawakuwa wasafi.
2. JK ana moyo mzuri tu, anaacha chips zi fall zipendapo (ES), ameshaanza kuziachia zianguke, sasa anasafisha uwanja tayari kwa kuijenga nchi.
3. Uhuru we press, JK amejitahidi sana kwenye hilo, jamaa ni simply muungwana. System alio nayo (aliyorithi) ilikuwa imeshachafuka, huwezi kupiga system yooote chini mara moja, it takes some days/years kui clean up. Muungwana ameanza. tumpeni support.
Ni yangu machache hayo.
Kweli jamaa kaenda na maji
Ila nitakuwa si mkweli nisipokubali kwamba Kikwete amefanya vizuri kuvipa uhuru vyombo vya habari, namwombea kwa Mungu ili aendelee kuwa mvumilivu na kuviacha vyombo vya habari vifanye kazi yake.
Next ni kurudisha senti zetu!
Alafu JK nae anaonekana msanii wee kila leo mawazili wako wanabwaga manyanga at the end of the day itabidi nae abwage manyanga pia atleast asiendelee na second term hii ya kwanza yamtosha kabisaa
Hivi ina maana Tanzania (Watanzania) au in short wana JF mnaogopa kumwambia Rais ajiuzulu atakapohisiwa kushirikiana katika kupanua mianya ya rushwa na kubariki azma za mafisadi watarajiwa na mafisadi waliobobea?