chemsha bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chemsha bongo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Che Kalizozele, Apr 8, 2010.

 1. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2010
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Una kikapu ndani yake kuna machungwa kumi ambayo unataka kuwagawia watoto kumi,kila mmoja anatakiwa kupata chungwa moja na ndani ya kikapu libaki chungwa moja.Ebu sema utayagawa vipi!
   
 2. N

  Ngala Senior Member

  #2
  Apr 9, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kapu lina machungwa kumi watoto kumi wataka libaki moja litatoka wapi.Manyau nyau angeweza kukusaidia mie simo mazee
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Apr 9, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Haya machungwa kumi uwagawie watoto kumi libaki chungwa moja...?
   
 4. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2010
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ndio mkuu,unataka kusema haiwezekani!

  Here we go,unachukua machungwa tisa unawapa watoto tisa kwenye kapu linabaki moja kisha unachukua kapu pamoja na chungwa lililobaki unampa mtoto aliyebaki.
   
 5. E

  Edo JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Unagawa watoto katika makundi matatu. Makundi mawili yanakuwa ya watoto 4, na moja la watoto wawili. Kisha unagawa machungwa matatu kwenye kila kundi. Moja linabaki kama ulivyotaka.
   
 6. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,729
  Likes Received: 8,312
  Trophy Points: 280
  I knew the answer umejibu haraka mno mkuu!!!!
   
 7. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2010
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pole mkuu,nimeona watu wanasuasua nikafikiri wote mmekwama,kumbe great thinker ulikuwa haujawasili,siku nyingine mkuu
   
 8. S

  Sinag Man Member

  #8
  Apr 9, 2010
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha uhuni.
   
 9. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Umejibu fasta sana mkuu, lakini safi sana ilikuwa bab kubwa!
   
 10. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2010
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu nakubaliana nawe,siku nyingine nitajitahidi kuwa patient.pamoja mkuu
   
 11. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2010
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hayaaa bana nitaacha.
   
Loading...