Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Dubai hii na hili ni jengo refu duniani likiwa linaonekana kipande tu upande wa kulia.
Linaitwa Burj Khalifa:
Ushalipanda hilo jengo au umekumbuka movie ya James Bond tuu?Dubai hii na hili ni jengo refu duniani likiwa linaonekana kipande tu upande wa kulia.
Ushalipanda hilo jengo au umekumbuka movie ya James Bond tuu?
Sio ile michezo iliyomtoa mapupu mzee wa formula one.
Hapo ni kinole morogoro