Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Tachagua samaki ana virutubisho vya asili kuliko kuku ambaye kama si wa kienyeji ana sumu nyingi mwilini kutokana na kupewa vyakula vyenye vinasaba vyenye madhara ya baadae kwa binadamu
Tachagua samaki ana virutubisho vya asili kuliko kuku ambaye kama si wa kienyeji ana sumu nyingi mwilini kutokana na kupewa vyakula vyenye vinasaba vyenye madhara ya baadae kwa binadamu
Mkuu hujapata tetesi hata samaki wako broiler kibao?
Hahaaaaa
Maana yake ni viasilia!Eti kwani vinasaba ni nini? Maana nalisikiaga sana hilo neno!
mambo ya faida katika mwili wako siyo muhimu?Ntachaga kuku kwasababu sipendi shombo ya samaki.
Inawezekana samaki akawa na faida nyingi mwilini ilihali ana shombo kubwa!Kitu kuku hata utamu wake hauna shombo kama samaki..
Kwa hiyo hivyo "viasilia" vinapatikana kwenye chakula cha kuku tu na si cha samaki?Maana yake ni viasilia!
Mkuu nakubaliana na wewe Samaki ni bora zaidi!hawa kuku nimechoka nao,heri samaki.
ila asikuambie mtu tuliopo ughaibuni hatuenjoy kila kitu broiler.
but nyumbani unakutana kambare au sato halisi,ndo utajua raha ya msosi.
Vinapatikana kwenye kuku na samaki pia!Kwa hiyo hivyo "viasilia" vinapatikana kwenye chakula cha kuku tu na si cha samaki?
mkuu kwa vyovyote vile hauko mbali na ukweli,hongera sana kwa hili!kuku na samaki zote ni nyama nyeupe faida sawa ila kuku chaguo langu la kwanza
Mmaanake kuna mdau mmoja amesema yeye atakula samaki kwa kuwa kuku wanakula vyakula vyenye vinasaba!Vinapatikana kwenye kuku na samaki pia!