uumbaji wa MUNGU jinsi alivyoumba ulimwengu na kumpa Adam bustani na kuja kumletea adam mke na mke akamtega kwa kula tunda na kisha waondolewa bustanini, wakazaa watt 2 wa kwanza na kisha ulimwengu ukaharibika amani ikatoweka nchi na mataifa yaasimamisha falme zao nazo zikadondoshwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.