Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
hasira.
kwa sababu kachukia.
wasira kwa sababu yuko kwenye kikapeti
Tyson kwa sababu anataka arushe ngumi.
Chemsha bongo: Nani kasimama juu ya kikapeti? kwa nini?
View attachment 55434
Ole wake mtu amsukume kumtoa kwenye hicho kibusati....akimkamata??
Kwa sababu ni mgeni maalum toka Gombe
Hivi huyu mkwele inaelekea centre bolt yake haiko sawa mbona akisimama lazima kakifua anakabenjua mbele na shingo utdhani kapigwa na umeme!!??
Kwa sababu ni mgeni maalum toka Gombe
Chemsha bongo: Nani kasimama juu ya kikapeti? kwa nini?
View attachment 55434