NAMTUMBA
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,939
- 600
ilibakia kidogo uandike mimba 5 mzee
Hahahaaa...
Mkuu nilishasema hizi androind Smartphones unaweza kumtukana mama mkwe.
ilibakia kidogo uandike mimba 5 mzee
hahahaha................ilibakia kidogo uandike mimba 5 mzee
Namba 5 mkuu, hii safi sana, lete nyingine mkuu, sina shughuli ya kufanya, angalau ubongo utatumika kidogo
Hahahaaa...
Mkuu nilishasema hizi androind Smartphones unaweza kumtukana mama mkwe.
Kama huna shughuli ya kufanya kaandamane na ukawa
Alinenalo mjinga.......
1.steven nyerere
2.mzee jengua
3.hemed suleiman
4.dimondplatinum
5.vicent kigosi(Ray)