"Chemsha bongo enzi zile"

Au hii,una machungwa matano kapuni.kuna watoto watano wamekuzunguka na inabidi kila mmoja apate chungwa moja.Utawezaje kuwapatia kila mmoja chungwa moja na chungwa moja libaki kapuni?
Wape watoto wanne chungwa moja moja,na mtoto wa tano mpe chungwa la tano pamoja na kikapu bila kulitoa chungwa kutoka kapuni.
 
Back
Top Bottom