my people haya mkeka huu hapa:CHEMSHA BONGO 006
1. Ni kitu gani kina uzito lakini hakionekani
2. Ni sayar ipi inajilikana kama Sayar nyekundu
3. Nini kinacho wezesha ndege kuruka angani
4. Ni metali ipi nyepesi zaidi kuliko zote
sasa we mwamba haujawahi acha hii "chemshwa" bongo yako? Hauoni watu hawataki kuliwa supu?my people haya mkeka huu hapa:
1. Hewa
2. Mirihi [Mars]
3. Nguvu ya kuinua [lift] inayotokana na umbo la mbawa na hewa
4. Lithium
Watu wanaogopa kuonekana vilaza,hawajiamini, ni game na elimu piasasa we mwamba haujawahi acha hii "chemshwa" bongo yako? Hauoni watu hawataki kuliwa supu?
haya bhana!Watu wanaogopa kuonekana vilaza,hawajiamini, ni game na elimu pia
Natoa elimu kupitia chemsha bongo
Itaisha ikifika 100 halafu uzi unafungwa
Haya mkeka huu hapa:CHEMSHA BONGO 007
1. Ni mwaka gani mfumo wa vyama vingi ulirudishwa hapa Tanzania na kwa njia ipi?
2. Ni chama kipi cha Siasa kilichopewa Usajili wa kudumu baada ya mfumo wa vyama vingi kurudishwa
3. Ni katiba ipi ilianzisha rasmi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
4. Ni idadi gani ya wabunge wakuteuliwa na Raisi inaruhusiwa kwa mujibu wa katiba?
Haya majibu haya hapa:CHEMSHA BONGO 008
1. Kiumbe gani pekee chaweza kujitengenezea chakula chenyewe?
2. Ni kiumbe gani kina ubongo mkubwa zaidi duniani
3. Kiumbe gani hukata sehemu ya mwili wake na kukua tena?
4. Ni ndege gani pekee anaweza kuruka kurudi nyuma [backward]
haya majibu haya hapa:CHEMSHA BONGO 009
1. Nini maana ya neno mfumuko wa bei?
2. Ni nini tofauti ya soko huria na soko linalo dhubitiwa
3. Nchi inayoagiaza bidhaa kwa wingi nje kuliko inavyouza,inakabiliwa na nini?
4. Iwapo bei ya bidhaa inapanda na mahitaji yanapungua,hii inaotwaje katika uchumi