min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,263
- 127,215
Yeah na sio rahisi kujua bila kusoma mkuu.sasa mkuu kweli hichi ni nini unatetea? We hauoni labda jamaa katoka kusoma mambo ya anga za juu sehemu fulani sasa kwa ushamba wake akaleta humu?
Yeah na sio rahisi kujua bila kusoma mkuu.sasa mkuu kweli hichi ni nini unatetea? We hauoni labda jamaa katoka kusoma mambo ya anga za juu sehemu fulani sasa kwa ushamba wake akaleta humu?
kwamba "mnachemsha bongo au sio! Haya bhana bongo zenu zikiiva mnipakulie na mimi ninywe supu kidogo!Acha fikra potofu wewe ndugu yangu,hapa tunachangamsha bongo zetu
Asante kwa majibu maan ilibaki kidogo niende nika gugo😂😂Venus ni Sayar ya pili ambayo ipo karibu na jua
inajizungusha kwenye mhimili wake kwa siku 243 na kufanya siku yake kuwa ndefu kuliko mwaka wake
inalizunguka jua kwa siku 225 hivyo kuufanya mwaka uwe mfupi kuliko siku/day
Na inazunguka clockwise na hivyo kulifanya jua kuchomoza magharibi badala ya mashariki
Hii quiz hakuna aliyejaribu kuweka miguuCHEMSHA BONGO 002
Ingawa Chemsha bongo ni kama game lakini kuna elimu na ufahamu unapatikana ndani yake
1. Mossad ni shirika la kijasusi la Israele
2. CIA ni Shirika la kijasusi la Marekani
3. Je M16 ni Shirika la kijasusi la nchi gani?
3. Tutajie Mwanamapinduzi ambaye anaheshimika sana duniani,ameandikiwa vitabu vingi na kutengenezewa filamu nyingi
4. Namba 46664 ilikuwa ni namba ya mfungwa gani wa kisiasa?
Kama dunia ni flat tunapataje usiku na mchana?Dunia ni flat.
Hizo mambo ni sci-fi
Ndo Asili yake kuvipata. Umeliza How? Mi nakuuliza Why? Tunapata usiku na mchanaKama dunia ni flat tunapataje usiku na mchana?
Nimeileta hii kwa ukubwa wake kwa faida ya wengine piaNdo Asili yake kuvipata. Umeliza How? Mi nakuuliza Why? Tunapata usiku na mchana
(Surah Al-Anbiya 21:33)“Yeye ndiye aliyeumba usiku na mchana, na jua na mwezi. Vyote vinaelea katika mzunguko wake.”
Nimeileta hii kwa ukubwa wake kwa faida ya wengine pia
(Mwenyezi Mungu) ambaye amekufanyieni hii ardhi kuwa kama tandiko(firasha) , na mbingu kama paa, na akateremsha maji kutoka mbinguni, na kwayo akatoa matunda yawe riziki zenu. Basi msimfanyizie Mwenyezi Mungu washirika, na hali nyinyi mnajua.📖 Dalili ya Qur’an
(Surah Al-Anbiya 21:33)
Tandiko hapa haimaanishi kwamba ardhi ni flat,kama umeileta aya hii kama hoja yako(Mwenyezi Mungu) ambaye amekufanyieni hii ardhi kuwa kama tandiko(firasha) , na mbingu kama paa, na akateremsha maji kutoka mbinguni, na kwayo akatoa matunda yawe riziki zenu. Basi msimfanyizie Mwenyezi Mungu washirika, na hali nyinyi mnajua.
(22 Al Baqarah)
Hapa Kuna vitu vingi.Tandiko hapa haimaanishi kwamba ardhi ni flat,kama umeileta aya hii kama hoja yako
Ila tandiko ni ili tustarehe kwenye ardhi kama hivi tunakaa pasina kuyumbishwa na ardhi na molima ikawa vigingi vya kuifanya ardhi isitembee
Ni kama mfano wa zuria ambalo huwa tunalitandika kisha tunastarehe,ndio mfano wa ardhi vile vile
Je mbingu ina support structure?Hapa Kuna vitu vingi.
Mbingu kama paa (Lazima paa liwe na support structure )
Sijui swala la starehe umeliunganisha vipi na firasha, na Aya inazungumzia matunda ya rizki(agricultural landscape).
My people hope mko poa
1. Ni Sayar gani ambayo siku yake ni ndefu kuliko mwaka wake?
2. Ni Sayar gani ambayo jua linachomoza magharibi na kutua mashariki
3. Ni sayar gani ambayo inazunguka clockwise kinyume na Sayar zote
Ni hayo tu!
Hatuna mda wa kupoteza akili mnemba anasema ni...My people hope mko poa
1. Ni Sayar gani ambayo siku yake ni ndefu kuliko mwaka wake?
2. Ni Sayar gani ambayo jua linachomoza magharibi na kutua mashariki
3. Ni sayar gani ambayo inazunguka clockwise kinyume na Sayar zote
Ni hayo tu!
Hahaha mkuu una makasiriko mda woteHAYA YANA MSAADA GANI MTU AKIJUA AMBAYE HAHUSIKI NA HIYO SAYANSI? NI UPUUZI TU.